smunchiez - moncler puff freestyle كلمات الأغنية
ni siku mingi alishindwa kuhush
alikuwa anaongea sana nilimpigia moncler puff
hii story ilibidi imefikia huzzy yake first_hand
lyrically siezi starve hii game nimeivalisha face_mask
baddie nipee head hadi tufike kwa bnb kileleshwa
bacc seat nikikula gunga nikif_kuza masetbacks
ofcos hii nairobi ni chess, bishop akibaki unavurutwa
back otc niko on the move
natrace mc nijue kama hizi mali zitacheza
hawa marapper ni wafunny kaa si kurap ni videvu wanaduck
ni ink tear drops nimelia nikarun dry
vitu hujieleza, bro anamake a living off kuscam, so ukipatikana usijam
hakuwa anadai mambo yangu, lakini after kutokea kwa hood na mndesha sahii ananichekesha
street smart elimu ni ya bure, hauwezi ipatakwingine niite karl marx
we ukiwa higher learning mе nilikuwa high nikilearn
hii si compee, sifai kuflex, kwa beat naonyеsha potential
natema ka missiles zimetoka moscow
maclones kwa streets, twin aliwaonyesha hadi kwa mabirthday party hatuwaneed
hii ni moncler zipper matags ni ka sita, gwedhe inashika na keg si beer
loud ndio najiskizia , noisemaker ever since haungenikosa kwa list
nikienda calif wazing hunipea mawaidha
go_getter so nameet demands za k_mweka
sh_t si easy ni doh inamleta, watu sugu si huf_kuza usingizi na edibles za mabuyu
napiga scene jiji naenda exile makuyu, kwa trap mannu usiwashe maroach
hapo block_d, manew recruits ndio tunawacoach
كلمات أغنية عشوائية
- lil x21 - never ends كلمات الأغنية
- dbsv - day and night كلمات الأغنية
- k.i.z - geld wie ein magnet intro كلمات الأغنية
- young gleason - ff كلمات الأغنية
- teo lucadamo - tic كلمات الأغنية
- shanni (phl) - 19 كلمات الأغنية
- shiza - propaganda كلمات الأغنية
- attho - 92 kat bekler pencere كلمات الأغنية
- enderlily - mtl كلمات الأغنية
- mixer dunner - even if you hate me كلمات الأغنية