
slimsuma - mama كلمات أغنية
verse
kwanza nakupenda, hili naweka wazi, nimekuweka kwenye moyo, umeijaza nafasi, i know that you love me hilo sina wasi, nakosea unasamehe then you play nice
sijui nikupe nini kufidia mama, maana sioni cha kukupa, vyote havina maana, toka utoto umenilea nimesumbua sana, angekuwa mwingine ile kitambo angeshanipa laana
kila siku namshukuru mungu aliye juu, j_po nipo mbali ila mama i miss you, toka mtoto hadi sasa still i need you, uishi milele mama ndio kitu i wish to
nak_mbuka tabu zote ulizopata mama, sio tabu ndogo nak_mbuka uliteseka sana, ulinipa moyo pale nilipojiona sina maana, hadi kazi mbaya ili nile mama yangu ulifanya
bridge
wewe super woman mama ni wewe. ×4
chorus
malaika nakupenda malaika, mama ni malaika nakupenda malaika. ×2
malaika nakupenda malaika. ×7
كلمات أغنية عشوائية
- tank and the bangas - hot air balloons كلمات أغنية
- headless_data - down - dnb remix كلمات أغنية
- meghane lex - red benz كلمات أغنية
- community music - my strength (live) كلمات أغنية
- apandah - pikachu fucked my wife كلمات أغنية
- who see - nisam doma' كلمات أغنية
- herva doce - sai de mim كلمات أغنية
- daine - picking flowers كلمات أغنية
- lil b - come upstairs interlude كلمات أغنية
- mako road - brodie street كلمات أغنية