slimsal - aikambe كلمات الأغنية
hey what’s up with you baby mama, how you doing you cute sana
ila najua utakuwa hunijui na huk_mbuki tulishakutana
sio juzi juzi au mh mh excuse me kiu kimenibana,
kwani hatuwezi pata few drinks me and you hata kama mchana
by the way naitwa slimsal na huyu ni tunchy master
usijali akitoa matusi yuko mtungi tangu jana
ni mshkaji flani hivi cool ina ana mizinguzi sana
hey tunchi itabidi urudi tu studio tutakutana
so nimekuona muda mama umemute tu umesimama
is there something that you be looking for maybe nikupe msaada
who is she? that’s your mama, uwii mmefanana
kuanzia macho mpaka nyusi hadi booty just like your mama
am sorry am acting stupid, mungu fundi bwana
basi kabla hajatuzoom i think you should give me your number
samahani mama aika, i think i love your daughter
nakuahidi mama aika, i will marry your daughter
samahani mama aika, (aikambe aikambe)
i think i love your daughter (aikambe aikambe)
nakuahidi mama aika, (aikambe aikambe)
i will marry your daughter (aikambe aikambe)
mama aika, shkamoo mi ninaitwa slimsal
smahani if am wrong kwa kwa kuongea na aika
na usijali mi na huyu mwenzangu jinsi tulivyovaa
ila mi ni kijana safi na binti yako ninamfaa
kwanza sivuti gambe wala sinywagi bange
i mean sivuti bange wala sinywagi gambe
ila nitaanza kunywa mbege kwa sababu ya aikambe
shule sijakimbia umande, naenda church hadi monday
ilibaki nusu tu yaani ningeshakuwa padri
ukinikabidhi aikambe nitamuoa tu one day
who are you!!! yesu we ndo babaake aikambe
kiruuu hukuniambia kama dingi yako ni afande
shkamoo afande, eh shkamoo baba aikambe
nilikuwa napita tu njia baba nisikukwaze, ila
samahani baba aika, i think i love your daughter
nakuahidi baba aika, i will marry your daughter
samahani baba aika, (aikambe aikambe)
i think i love your daughter (aikambe aikambe)
nakuahidi baba aika, (aikambe aikambe)
i will marry your daughter (aikambe aikambe)
harusi yangu mimi na aikambe moshi atakuwepo
nikimuoa aikambe mshiu atakuwepo
harusi yangu mimi na aikambe kimaro atakuwepo
nasema nikimuoa aikambe kimambo atakuwepo
mchau atakuwepo (ntakuwepo) rio atakuwepo (ntakuwepo)
uremi atakuwepo (ntakuwepo) msaki atakuwepo (ntakuwepo)
lyimo atakuwepo (ntakuwepo) kesi atakuwepo (ntakuwepo)
masawe atakuwepo (ntakuwepo) ulomi atakuwepo (ntakuwepo)
siwayo atakuwepo (ntakuwepo) urasa atakuwepo (ntakuwepo)
shayo atakuwepo (ntakuwepo) njiu atakuwepo (ntakuwepo)
na chales makoi naye atakuwepo (ntakuwepoooo)
كلمات أغنية عشوائية
- maya richard-craven - the executioner’s song كلمات الأغنية
- kid stoner - saturday كلمات الأغنية
- freshlikeuhhh - old bagamoyo road كلمات الأغنية
- footprints in the custard - waltz of the bear كلمات الأغنية
- mista meta - lucky luke كلمات الأغنية
- rethro - pale wrotki كلمات الأغنية
- mizeb - alles vorbei كلمات الأغنية
- kehlani - down for you (djemba djemba remix) كلمات الأغنية
- miracle musical - white ball (solo demo) كلمات الأغنية
- bilskirnir - weltenbrand كلمات الأغنية