kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

sir yongo - sema nipo كلمات الأغنية

Loading...

yeah
it’s who?
it’s sir yongo!

[verse 1]
mimi sishikiki, nawazuga kama striker
mistari ka bunduki, nalipua kama sniper
nyuma mtabaki, nyie watoto vaeni diaper
ama mtoke nduki, mtoke jasho la vikwapa
rapper, wanajua mi ni rapper
ukichapa nakuchapa, ukizingua n_z_ngua tu hapa

mimi ni chipukizi, sijafika level ya star
n_z_di chapa kazi, nyota yangu itang’aa
walonipeza juzi, watabaki wakishangaa
na mapaparazi, watabaki wakibung’aa ‘kishangaa

mwanzo sina nguvu, ya kubishana kwenye street
nanyi wenye wivu, mta_suffer siwa_cheat
bahati ya mwenzio, usilalie mlango wazi
fanaka ya mwenzio, mbona ndugu hupongezi

sote ni ma_sufferer
tusitoane kafara
pamoja tuwe imara
support iwe imara
[chorus]
sema eee, are you ‘right? (right, right)
kama unasikia nyosha mkono kwenye hewa sema, “nipo” (nipo, nipo)
sema eee, are you ‘right? (right)
kama unasikia nyosha mkono kwenye hewa sema, “nipo” (nipo, nipo, nipo)

[verse 2]
ndugu usidharau, mwanzo mdogo upe chеo
ipo siku utasahau, hizi shida kila leo
masomo ni stress, ila key ya maisha
soma’ siwе kesi, maumivu yatakwisha
kama una kipaji, jiamini tekeleza
utavishwa hata taji, ukiamini unaweza
wote walo juu, jua walianza chini
sema mwaka huu, nitafaulu kwa imani, jiamini

jua mungu wako, ndugu sipoteze dira
hii dunia sio yako, tuko kwenye msafara
leo ukikosa omba kesho utapata
na kesho ukipata ushukuru, swadakta

kwa lulu za hekima, nina_flow kwenye verse
nimesimama wima, sidundi ka kitenesi
hii ni kama race, hii ni kama race
mistari nalipua, inatoka tu kasi
[chorus]
sema eee, are you ‘right? (right, right)
kama unasikia nyosha mkono kwenye hewa sema, “nipo” (nipo, nipo)
sema eee, are you ‘right? (right)
kama unasikia nyosha mkono kwenye hewa sema, “nipo” (nipo, nipo, nipo)

sema eee, are you ‘right?
kama unasikia nyosha mkono kwenye hewa sema, “nipo” (nipo, nipo)
eee, are you ‘right?
kama unasikia nyosha mkono kwenye hewa sema, “nipo” (nipo, nipo)

[outro]
sema….

nipo!

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...