kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

sir yongo - mtu akipenda كلمات الأغنية

Loading...

[intro]
aah!
(it’s sir yongo!)
aah!
yeah!
kata!
aah!
twende!
twende!
yeah! yeah!
[verse 1]
lately nimekuwa mjinga, hakuna n’nachokiona
mapenzi kweli yamen’funga, hakuna vile nitapona
malavidavi ee, malavidavi ee
malavidavi yamenitinga
malavidavi ee, malavidavi ee
malavidavi yamenitinga

[pre_chorus]
basi usifanye makosa ukaniacha
basi usifanye makosa ukanitupa
kwani nitaumia sana
mimi mwenzio nitaumia sana, mmh
nitachekwa sana
kote mitaani nitachekwa sana, nitaumia
aah! aah!
nitaumia
aah! aah!
nitalia

[chorus]
mtu akipenda anakuwa chizi
anakuwa hana nguvu wala hajiwezi, aah!
akipenda anakuwa chizi
anakuwa hana nguvu wala hajiwezi, ah!
mtu akipenda anakuwa chizi
anakuwa hana nguvu wala hajiwezi, aah!
akipenda anakuwa chizi
anakuwa hana nguvu wala hajiwezi
niache nipende, ninayempenda aringe
niache nipende, ninayempenda aringe

[verse 2]
lately nimеfungwa macho, hakuna n’nachokiona
napewa kila nitakacho, nampenda tena na tеna
malavidavi ee, malavidavi ee
malavidavi yamenitinga
malavidavi ee, malavidavi ee
malavidavi yamenitinga

[pre_chorus]
basi usifanye makosa ukaniacha
basi usifanye makosa ukanitupa (usinitupe, baby)

[chorus]
mtu akipenda anakuwa chizi (aah)
anakuwa hana nguvu wala hajiwezi, aah! (hajiwezi)
akipenda anakuwa chizi (aah)
anakuwa hana nguvu wala hajiwezi, ah!
mtu akipenda anakuwa chizi (chizi)
anakuwa hana nguvu wala hajiwezi, aah!
akipenda anakuwa chizi
anakuwa hana nguvu wala hajiwezi

niache nipende, ninayempenda aringe
niache nipende, ninayempenda aringe
[outro]
to the left!
to the right!
move your body
don’t mind

to the right!
to the left!
don’t mind
hatuku_judge

which way?
that way!

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...