kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

sir yongo - joker wako كلمات الأغنية

Loading...

[intro]
she loves me, joker
she loves me, joker
she loves me, ah
she loves me

[verse 1]
msela niko high, utadhani niko jaba
penzi ni uhai, wanaitaga mahaba
msupa ameninasa, utadhani ni smaku
msupa ameninasa, woo yeah amenikaba
kila ‘napokaa, namuwaza sio haba
hii nafasi nampa, mwanamama
ye’ ni wife material, namkubali mara saba
yeah, woah woah woah ooo

kipi unataka, baby nikupe
na bila shaka, mi’ si mapepe
mi’ si mapepe
usinihepe
usinikwepe
nabaki na wewe
daima dawamu
kutesa kwa zamu
mapenzi matamu
sio haramu
mimi na wewe sio haramu
mimi na wewe sio haramu
[chorus]
mrembo, ona
mi’ ni wako, milеle
mrembo, ona
mi’ ni wako, milelе

mi’ ni joker wako
mi’ ni joker wako
mi’ ni joker wako
mi’ ni joker wako
aah

[verse 2]
ni kipi unataka, zaidi ya penzi la dhati
kukupata wewe, najiona wa bahati
hii ni shabaha, ya risasi si manati
mtoto mali safi, kiboko ya mabanati
mwaka huu watakoma, yaani 2022
round hii ‘takona, ee watakula huu

mi’ ni wako joker
wasijenipoka
mi’ ni wako joker

[chorus]
mrembo, ona
mi’ ni wako, milele
mrembo, ona
mi’ ni wako, milele
mi’ ni joker wako
mi’ ni joker wako
mi’ ni joker wako
mi’ ni joker wako
aah

[outro]
joker, joker, joker, joker, joker (mi’ ni wako joker)
poker, poker, poker, poker (wasijenipoka)
ka! prr prr! joker, joker (mi’ ni wako joker)
ka! joker, joker (wasijenipoka)
joker, joker, joker, joker, joker
joker (mi’ ni wako joker)
joker, joker, joker, joker, joker (wasijenipoka)

it’s sir yongo!

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...