
shomari chryzo - ombi langu كلمات أغنية
artist: shomari chryzo
song: ombi langu
verset 1
baba, napiga goti langu, usiwape nafasi, adui zangu wanataka nife
ona, wanavyo nizihaki, wanitakia kifo…
eh bwana w_ngu ma maneno wana nena yasini pate
mitego wanatega yasini nase
mkono unishike nisi anguke
nisikate tamaa, na wanavyo nizihaki…
eh bwana w_ngu ma maneno wana nena yasini pate
mitego wanatega yasini nase
mkono unishike nisi anguke
nisikate tamaa…
ushindi w_ngu sifa nitakupa milele
baba, napiga goti langu, usiwape nafasi, adui zangu wanataka nife
ona, wanavyo nizihaki, wanitakia kifo…
eh bwana w_ngu ma maneno wana nena yasini pate
mitego wanatega yasini nase
mkono unishike nisi anguke
nisikate tamaa, na wanavyo nizihaki…
eh bwana w_ngu ma maneno wana nena yasini pate
mitego wanatega yasini nase
mkono unishike nisi anguke
nisikate tamaa…
ushindi w_ngu sifa nitakupa milele
verset 2
daudi alisema, ajaona mwenyе haki aki achiliwa
namimi naliya njoo kw_ngu , uoneshe sina atiya
vita sio vyetu ulisеma wapigana mwenyewe
vita sio vyetu ulisema wapigana mwenyewe
refrain
nita ya inuwa macho yangu ni tazame milima
msaada w_ngu utatoka wapi mimi
msaada w_ngu utatoka kwake bwana
asiu ache mguu w_ngu bali anipiganiye vita na adui
nami nita imba sifa zake nikiwa salama
nami nita imba sifa zake nikiwa salama
verset 3
rabii naliya
natembea nao shimu wani chibiya
wataka nianguke umo sina hatiya
nakosa lakusema uku navumiliya
rabii naliya
natembea nao shimu wani chimbiya
wataka nianguke umo sina hatiya
nakosa laku sema huku navumiliya
refrain
nita ya inuwa macho yangu ni tazame milima
msaada w_ngu utatoka wapi mimi
msaada w_ngu utatoka kwake bwana
asiu ache mguu w_ngu bali anipiganiye vita na adui
nami nita imba sifa zake nikiwa salama
nami nita imba sifa zake nikiwa salama
كلمات أغنية عشوائية
- jd clayton - long way from home كلمات أغنية
- kid krxsh! - roxstar (feat. saturne) كلمات أغنية
- wacce - ragezone كلمات أغنية
- jerimiawongo - lecturing theatre كلمات أغنية
- chad mansion - tapok كلمات أغنية
- magnolia park - ? (question mark) كلمات أغنية
- simon grossmann - fuego lento كلمات أغنية
- goldpixel_music - stronger than you (varlin) كلمات أغنية
- drakuling ko-karim - intro - k de kilates كلمات أغنية
- victorious zay - blue tips كلمات أغنية