shahidi mosh - natamani كلمات الأغنية
song lyrics
natamani
natamani niitwe mwana wake wee
i desire to be called his son
lakini shida ni dhambi nyingi kw-ngu weee
but my sins are a barrier
natazama ile karamu kwa umbali wee
i can see from far the righteous celebrate
huku niliko mateso chungu nzima wee
but here where i am, there are lots of tears
natamani nivuke ng’ambo ile wee
i long to cross that river to where he is
nipige magoti kwake anisamehe wee
so i can kneel before him and ask for forgiveness
,
ni mwenye huruma, tena wingi wa rehema
he is full of grace and sympathy
aniokoe, niitwe former sinner
so he may cleanse me and be called a former sinner
banirudisha ocha, banisafisha poa, dhambi banitoa, nisiwe madoa doa
he carries me home,cleanses me, takes away my sin, so i don’t a stain
chorus 1 : amenifanya niishi (niishi) ,amenifanya niishi(niishi), amenifanya niishi(niishi),amenifanya niishi. x2
he made me live x8
mungu wa karibu,, kanitia adabu, amefanya maajabu ,kutoa x-sinner kwa klabu
he’s a god of miracles, who instilled in me manners, he has done wonders to relieve me of my past
nimeenda kwa waganga wengi wee
i sought too many human solutions to my problems
kutafuta kazi nimekosa kazi bana weee
because i lacked a job
k-mbe mganga mwenyewe hana kazi wee
but even the fellow humans are jobless
ananipora alishe familia weee
they just ended up stealing from me
akusanya kila kitu changu weee
taking every coin i had left
hata mashilingi narudi bila fare wee
including my bus fare
mimi nikimbilie nani wee ?x4
so who do i turn trust?
nitafute ufalme wake mungu weee
i better seek the kingdom of god first
hayo mengine nitayapata mimi wee
and all shall be added unto me
anipe mabawa, nitoke kwenye mabaya
he gives me wings, so i can fly away from sin
nivuke ng’ambo niweze kufanya mambo
makes me cross the river and do wonders
banifuta machozi, nikaacha kulia
he wipes my tears, so i can stop crying
banitoa kushoto, baniweka mimi kulia
gets me from his left hand side to his right handside
chorus 2: amenifanya niishi (niishi) ,amenifanya niishi(niishi), amenifanya niishi(niishi),amenifanya niishi.x2
he made me live x8
كلمات أغنية عشوائية
- the rough & tumble - appalachia greener كلمات الأغنية
- king khalil & relaxses - kreuzberg 2001 كلمات الأغنية
- simon evans - anywhere to go كلمات الأغنية
- gore. (metal) - pray كلمات الأغنية
- sofia carson - joke's on me كلمات الأغنية
- alcione - comentários كلمات الأغنية
- wtwice & silverxhaze - faber castell كلمات الأغنية
- океан ельзи (okean elzy) - відповідь (answer) كلمات الأغنية
- shit present - ever after كلمات الأغنية
- anaïs, toddla t & nadia rose - hey hey hey كلمات الأغنية