kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

sele minamba - sherehe lyrics

Loading...

magic sound
munno the k!ller
na mtu kwao akikwambia pale
ndio wapi vile kule

munno gusa
gusa tena
fanya kama unashika
zibua chuma

shereheeeeeeee
kama nyungu wameongezewa rondo
na hiii furaha
kama komba kafumania gongo
umewashwa muziki
na kuzizima rongo rongo
kushakucha kitambo
uwezi kuliona tongo tongo

wale nao
wamekuja kuenjoy
na sisi pia
tumekuja kuenjoy
wale nao
wamekuja kuenjoy
na sisi pia
tumekuja kuenjoy
leo good ka bless aifanani na jana
kafanya wepesi leo na mimi kaniona
mitungi mikasi na kuchanganya na nyama
yani kiroho safi feg ngah tutachoma

relax mwite waiter azungushe kama tulivyo relax
mwite waiter azungushe kama tulivyo

yani bora nisimuone kabisa
nikimuona nachoka mapenzi yanatesa
haaaeee

kweli mapenzi yanachosha
nikipata ni bora kuvuta izi shisha
haaaeee

kakata kati kati kopa kasahau
akukopa mi uwaga nalipa
haaaeee

kwеli izi noti shetani kaniacha kaenda k_mfata kibopa
haaaeeee

mwite waitеr azungushe kama tulivyo
relax
mwite waiter azungushe kama tulivyo

Random Lyrics

Hot Lyrics

Loading...