
sele minamba - mwanzo mwisho كلمات أغنية
wakati jua linazama
#intro
na ndege wanarudi kwao
na mimi twende nao mtu kwao
munno the k!ller
#verse
mistakes today tomorrow
please my baby am sorry
siwezi kupiga machenga
maana mapenzi ayafanani na ball
ukinuna utanikata mori
nasaka nikuvishe kigori
ata nikipita kwenye njia zao
siwezi kutekwa na shori shori
#chorus
mi nakupenda wewe tuuu
mimi nipo ma wewe tuuuu
mwanzo mwisho
mi nakupenda wewe tuuu
mimi nipo ma wewe tuuuu
mwanzo mwisho
mi nakupenda wewe tuuu
mimi nipo ma wewe tuuuu
mwanzo mwisho
mi nakupenda wewe tuuu
mimi nipo ma wewe tuuuu
mwanzo mwisho
#verse
minakupenda wewe apo wakati uliopo
nakupenda mwanzo mwisho
yani mimi nasimama kama adamu
uliniponza apple wa ubavu wa kushoto
yani mimi ntakulinda kama macho
uhai na kifo na lеo na kesho
ooho
how come movie ya tommy bila ya jеrry
how came bell ya beli ya t bila ya reli
how came moto car bila diesel
how came kuleta uzungu bila ya ngeli
#verse
kwa mfano tunaweza kuijua
hii ni vuli au masika
hatuwezi kujua kila kitu atujakamilika
tulianza kuijua nane kisha ikafata tisa
hatuwezi kuijua mbele tunajua tulipo toka
na maanisha mbele kesho nyuma jana leo sasa(mwenzako mimi)
na maanisha kw_ngu we mvua endelea kunyesha (mama jangwani)
na maanisha nakupenda usije ukaniacha(endelea kuniamini)
nachosema nikipata pesa ntakuposa(we love mamy)
#chorus
mi nakupenda wewe tuuu
mimi nipo ma wewe tuuuu
mwanzo mwisho
mi nakupenda wewe tuuu
mimi nipo ma wewe tuuuu
mwanzo mwisho
mi nakupenda wewe tuuu
mimi nipo ma wewe tuuuu
mwanzo mwisho(mi nakupee)
mi nakupenda wewe tuuu
mimi nipo ma wewe tuuuu
mwanzo mwisho
#verse
wachunge wakina chiddy
muhammad na hamadi
wachunge awachelewi kuleta ushemeji
mbona mohammed demu wake mwanahidi
naishia kuumpa hi ata story atupigi
jichunge sana we ndo w_ngu ua ridi
jichunge we ndo koti langu usiniache na baridi
mi si isubiri siku ya eid mi nataka
nifaidi maana mi sio mkaidi
wewe unavyo zidi kunipenda
na mimi ndo n_z_di kukupenda
tuzichange ziwe nyingi zikijaa
tuzichambua kama karanga
mimi navyo zidi kukupenda
na wewe ndo un_z_di kunipenda
tujipange tukikosa nyumba
tujenge hata kibanda
#outro
bongo matembezi dara dara tu jero
mi napambana tutoke from zero to hero
ata mimi pia nishazichoka izi kero
kupandisha vilima kama naishi
morogoro
كلمات أغنية عشوائية
- fight - moved on كلمات أغنية
- paulina rubio - ayudame كلمات أغنية
- ella fitzgerald - i concentrate on you كلمات أغنية
- weird al yankovic - the rye & the kaiser كلمات أغنية
- sarah brightman - yesterday كلمات أغنية
- angara damana - a truth hidden in the womb كلمات أغنية
- angeli di pietra - love lost كلمات أغنية
- angel corpse - saints of blasphemy كلمات أغنية
- mansun - the greatest pain كلمات أغنية
- ancient dome - architect of dreams كلمات أغنية