
sele minamba - mikasa mikosi makosa كلمات أغنية
magic sound
wakati
jua linazama
na ndenge wanarudi kwao
na mimi twende nao mtu kwao
munno the k!ller
cha kwanza pumzi ndo ujanja wa maisha
na k_mshukuru alie nipa
leo nimekosa ila kesho ntapata
mimi wake awezi kunitupa eeeh
hii mikasa mikosi makosa
hakuna asiepitia kuteseka
hizi pesa nikipata nitaposa
ila kuna kitu mi kwako nilitaka
mapenzi ya kweeeeeeelii
mapenzi ya kweeeeeeeelii
mapenzi ya kweeeeeeeeliii
mapenzi ya kweeeeeeeeelii
mapenzi yako weeh
naanza na mikasa
alianza visa kachoka kabisha ye p_ss kwetu chaka
mikosi
nasaka nakosa na nishaweka ahadi anachotaka nitampa
makosa
kwenda nae kisiasa wasasa wanasema
makopa na pesa
mapenzi ndio siti ya daladala
aina maana mapenzi ya faaa wenye ela
mapenzi yana wafaa ata maf_kara
yote ni mitikasi ata ukiniona nazurura
ila wewe unawapenda wauza sura mimi
kisa sina kitu ndo unaniona msela
ila poa we wapende wauza sura
ila bongo michorеsho wachoraji
awana ela
lilitumika neno sio andiko
kwa maana ya kiapo
mimi nawe mpaka kеsho
mimi nawe mwanzo mwisho
mimi nawe mpaka kifo
n_z_k_mbuka ahadi zako
uwongo na upendo wako
mimi nawe tupo special
sisi njiwa mbona ulipo
uko uko pekeyako
same time nawaza nikufate
au nije na majeshi yakuteke
ila nautuliza moyo naona bora
niji boost na mpepe
k_mpenda mdada mapepe
kama joda yani kata tukate
washa washa yani washa uwashike
yani gusa unase umpende akutese
ye mwenzangu moyo wake kama kifuu
kikishawaka yanabakia majivu
ila twende nao moyo w_ngu kama kiza
ukinipenda mw_nga ukiniacha maumivu
ooooohooo mwaka ukipindukaga
naanzaga na moja
nishaachwa mara nne
nilimuacha mmoja
au tuseme nna nguvu za soda ye
anaguu la biar kubwa serengeti lager
kusema kweli sijachoka k_mpendaga
j_po anabish_ga kuja gheto ata
nikikodi boda
kweli mapenzi yana walizaga
sio mimi tu yanawaliza mpaka ma soja
sasa nani atavunja chaga bustan
ishanawili nani achume mboga mboga
كلمات أغنية عشوائية
- liz cooper - motorcycle كلمات أغنية
- seun - call me when u lonely كلمات أغنية
- old collin - rox كلمات أغنية
- 0000011 - gone كلمات أغنية
- rapozof & joker - visin كلمات أغنية
- fado, s3an - fade away كلمات أغنية
- lil 7sky - засыпай(fall asleep) كلمات أغنية
- juice gold - memory كلمات أغنية
- ezedike - i'mma goddess كلمات أغنية
- tatiana manaois - true love doesn't die كلمات أغنية