scott montana - vibaya كلمات الأغنية
intro
yeah yeah
mmmmh
verse 1
gal i’m sick of you
gal i’m mad at you
kila siku vita mikosi
inafika utaniuwa na pressure boo
unajua nakupenda boo
ila hli ulielewe
hasira zanifika juu
unaposifia wale mama
ina maana
yale nayofanya sio sawa
ila na ng’ang’ana
j_po penzi waligawa
hesabu za kujumulisha
uazizidisha unikatisha tamaa
safari unaichanganyisha
unaisitisha meli unaishusha nanga
bridge
dhil dhuk stahe barhoth bura
dhil dhuk stahe barhoth buradhil dhuk stahe barhoth bura
dhil dhuk stahe barhoth bura
chorus
oh moyo unaumia vibaya
oh vibaya
moyo unaumia vibaya
ohh
moyo unaumia vibaya
oh vibay
moyo unaumia vibaya
verse 2
dhumuji aldhal dhahamedhal rahiho
dhik mehik saktheh
umenieka kwa giza
sioni wala siezi pita
nafsi inapokea
ghadhabu myboo
unanikondesha
ina maana
yale nayofanya sio sawa
ila na ng’ang’ana
j_po penzi waligawa
hesabu za kujumulisha
un_z_zidisha unikatisha tamaa
safariunaichanganyisha
unaisitisha meli unaishusha nanga
bridge
dhil dhuk stahe barhoth bura
dhil dhuk stahe barhoth bura
dhil dhuk stahe barhoth bura
dhil huk stahe barhoth bura
verse 3
dhumimira dhilbar barth karidhia
mujisakthi jahie
meri chin thamanthi caro caro
goibak nehi baknehi
piar
oh dhaya dhay dhaya dhaya
dhaya caro
kival ispar dhaya
ohh piar
chorus
moyo unaumia vibaya
oh vibaya
moyo unaumia vibaya
كلمات أغنية عشوائية
- edot babyy - gangnem style كلمات الأغنية
- aureo gold - juntos a flyar كلمات الأغنية
- odd bird - a tryst, a trap كلمات الأغنية
- joão lopes - cidade sorriso كلمات الأغنية
- ali ardavan - hesse mamooli كلمات الأغنية
- slim guerilla - set the play كلمات الأغنية
- lena horne - the fool on the hill كلمات الأغنية
- greeen - lebensakrobaten كلمات الأغنية
- max meyers - gray and blue كلمات الأغنية
- tigers & flies - ben كلمات الأغنية