kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

scott montana - sielewi كلمات الأغنية

Loading...

verse 1
niko barida na peace
devil anataka ni tense
si kw_ngu nimeeka fence
akivika itakua offense

party kwake kisha bow
kaa ni bazenga na doo
grace mingi mingi joo
unataka red ama purple
niupako nakwako sitoki na bilaga ble…(sngs)
nakuja na kesha na pressure attention nataka
compassion occasion
oshh!
nikiwa kwake ni amen
blessings napata kaa rain
na diggy inabidi reapeting kifiti
nasiki yo neema my friend

bridge
time ina go (go)
na wind ina blow (blow)
weni kaka blo (blo)
unataka parable (ble)

chorus
sielewi
sielewiiii!
sielewi
sielewiiii

verse 2
akinona ana kita
ako humble na sifa
eti kapiga metre
mbali hataki vita
akipita ana mwita
akisita ana shika
devil kampagawisha
kwake yesu akadinda

my motion
my potion
my mission
kwenda nation
temptation in progression
afu nazama dimensions

haka kavita kamesonga nakita
sh_taki kwa police mina case (case! case)
blessings anipa na hierarchy na legacy
na magazine namada
kisha na place back size

bridge
time ina go (go)
na wind ina blow (blow)
weni kaka blo (blo)
unataka parable (ble)

chorus
sielewi
sielewiiii!
sielewi
sielewiiii

asa twende kushototoo x 2
afu cheza kidogogoo x2

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...