kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

sauti tamu melodies - watumishi wake baba كلمات أغنية

Loading...

watumishi wake baba w_ngapi waliopo
wanakula na kusaza chakula chake baba

nami _ nami nataabika hapa
nashi _ nashiriki na nguruwe
chaku _ chakula kisichofaa, yanipasa kurudi
nita _ nitarudi na kusema
baba _ baba yangu nisamehe
nime _ nimekosa kwake mungu, na mbele yako baba

baba kamwona yu mbali kashikwa na huruma
akakimbia k_mlaki kamk_mbata na busu

nami _ nami nataabika hapa
nashi _ nashiriki na nguruwe
chaku _ chakula kisichofaa, yanipasa kurudi
nita _ nitarudi na kusema
baba _ baba yangu nisamehe
nime _ nimekosa kwake mungu, na mbele yako baba

baba sistahili tena kuitwa mwana wako
unifanye kama mmoja wa watumishi wako

nami _ nami nataabika hapa
nashi _ nashiriki na nguruwe
chaku _ chakula kisichofaa, yanipasa kurudi
nita _ nitarudi na kusema
baba _ baba yangu nisamehe
nime _ nimekosa kwake mungu, na mbele yako baba
baba yangu nimekosa ninaomba huruma
unisamehe nirudi nikakutumikie

nami _ nami nataabika hapa
nashi _ nashiriki na nguruwe
chaku _ chakula kisichofaa, yanipasa kurudi
nita _ nitarudi na kusema
baba _ baba yangu nisamehe
nime _ nimekosa kwake mungu, na mbele yako baba

wanikaribisha mimi kwenye karamu yako
meza imeandaliwa inaningoja mimi

nami _ nami nataabika hapa
nashi _ nashiriki na nguruwe
chaku _ chakula kisichofaa, yanipasa kurudi
nita _ nitarudi na kusema
baba _ baba yangu nisamehe
nime _ nimekosa kwake mungu, na mbele yako baba

nasogea ninakuja ninakukimbilia
mimi ni mtoto mpotevu baba unipokee

nami _ nami nataabika hapa
nashi _ nashiriki na nguruwe
chaku _ chakula kisichofaa, yanipasa kurudi
nita _ nitarudi na kusema
baba _ baba yangu nisamehe
nime _ nimekosa kwake mungu, na mbele yako baba

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغنية الشائعة حالياً

Loading...