sauti sol - unconditionally bae كلمات الأغنية
[verse 1: bien-aimé]
we all need love
we all need affection
and the way that you’re looking at me
i can feel a connection
unanibamba baby, kwanza unavyochekecha
kinywaji kwa mkono, na kibeti kwa bega
[verse 2: savara]
juu sikuizi madem wanapenda doh
na machali pia tunazo drama
ya dunia ni mengi sana, no commitiment mama
so nipe nafasi
nikupe mapenzi yangu ya kiluhya
hallelujah
[chorus]
we all need love
nakupenda
tena nina imani sana
ushanitega, ushanitega
we all need someone
nakupenda
tena nina imani sana
ushanitega, ushanitega
so make love to me
unconditionally bae, unconditionally bae
make love to me
unconditionally bae, unconditionally bae
[verse 3: alikiba]
we all need love
me i need a wife, wa kuishi na yeye
fuata vijana utakufa mapema magonjwa yamejaa
jina langu ali, sasa lazima nilee
nikikosa kula, nawe ndo chakula, nitakonda mazima
and i belie-eeeve, nitakuwa nawewe
mwanzo mpaka mwisho
and i belie-eeeve, baibe
[chorus]
we all need love
nakupenda
tena nina imani sana
ushanitega, ushanitega
we all need someone
nakupenda
tena nina imani sana
ushanitega, ushanitega
so make love to me
unconditionally bae, unconditionally bae
make love to me
unconditionally bae, unconditionally bae
we all need love
nakupenda
tena nina imani sana
ushanitega, ushanitega
we all need someone
nakupenda
tena nina imani sana
ushanitega, ushanitega
so make love to me
unconditionally bae, unconditionally bae
make love to me
unconditionally bae, unconditionally bae
ali
(b-maye)
sauti sol
(b-maye)
east africa
(b-maye)
tanzania kenya
(b-maye)
kigali
(b-maye)
bujumbura
(b-maye)
kampala
(b-maye)
kinsasha
b-maye
b-maye
b-maye
b-maye
b-maye
b-maye
كلمات أغنية عشوائية
- lupillo rivera - de que me presumes كلمات الأغنية
- meliah rage - where darkness lies كلمات الأغنية
- yxng maz - demon girl كلمات الأغنية
- jaemyth - what it is كلمات الأغنية
- southside johnny & the asbury jukes - all i can do كلمات الأغنية
- meek mill - derrick rose كلمات الأغنية
- ifloss - feminine fountain of youth كلمات الأغنية
- twentythreenineteen - losing touch كلمات الأغنية
- аукцыон (auktyon) - одинокий мужчина (lonely man) كلمات الأغنية
- doug paisley - waiting كلمات الأغنية