kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

sauti sol - nerea (feat. amos and josh) كلمات الأغنية

Loading...

nakuomba nerea
usitoe mimba yangu eeh
mungu akileta mtoto -n-leta sani yake
mlete nitamlea
usitoe mimba yangu eeh
mungu akileta mtoto -n-leta sani yake
huenda akawa obama, atawale america
huenda akawa lupita, oscar nazo akashinda
huenda akawa wanyama, acheze soccer uingereza
huenda akawa kenyatta, mwanzilishi wa taifa
nakuomba nerea usitoe mimba yangu
mungu akileta mtoto, -n-leta sani yake
mlete nitamlea usitoe mimba yangu eeh
mungu akileta mtoto, -n-leta sani yake
(nitamlea)
huenda akawa mathai, ailinde mazingira
huenda akawa mageba, nyimbo nzuri akatunga
huenda akawa nyerere, aongoze tanzania
huenda akawa mandela, mkombozi wa africa
nakuomba nerea usitoe mimba yangu eeh
mungu akileta mtoto -n-leta sani yake
mlete nitamlea usitoe mimba yangu
mungu akileta mtoto, -n-leta sani yake
nakuomba nerea, nerea, nerea usitoe mimba yangu
nerea, nerea, nerea usitoe mimba yangu
huenda akawa kagame, atawale
jaramogi odinga, tuungane
huenda akawa tom mboya
huenda akawa rudisha
huenda akawa malaika, mungu ametupatia
huenda akawa sauti sol
huenda akawa amos and josh
huenda akawa maaa…
huenda akawa malaika, mungu ametupatia
end

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...