sauti sol - nenda lote كلمات الأغنية
[intro: savara]
ohh, na, na, na, na, na
[verse 1: savara]
umetuma wazazi wako waje wanielezee
umetuma wazazi wako waje wanielezee
hunitaki tena, na mashoga zako waje waniambie
na mashoga zako waje waniambie
ndoa tumeivunja
[pre_chorus 1: savara]
siamini kuna time singeishi bila wewe
mapenzi ya kukata na shoka, eh, eh
yashamwagika, hayazoleki haya, oh
basi nenda lote, mama
nenda lote, mama
[chorus: sauti sol]
mpenzi, unaenda
nilikuenzi kinomanoma
yashamwagika, hayazoleki haya, oh
nenda lote, mama
[verse 2: chimano]
ukatuma lawyer wako aje anisomee
ukatuma lawyer wako aje anisomee
kuwa watoto ulionizalia, eh, eh
kuwa watoto ulionizalia, eh, eh
sitawaona tena
uhh
[pre_chorus 2: chimano]
siamini kuna time tuliapa hadharani
kanisani kwa chanda na pete, eh
yashamwagika, hayazoleki haya, oh
nenda lote, mama
nenda lote, mama
[chorus: sauti sol]
mpenzi, unaenda
nilikuenzi kinomanoma
yashamwagika, hayazoleki haya, oh
nenda lote, mama
[verse 3: bien_aimé]
ukatuma pastor wako aje anikemee
ukatuma pastor wako aje anikemee, mama
na madeni zangu ukazitangaza, eh (ukazitangaza, eh)
na madeni zangu ukazitangaza, eh
mitandaoni, oh
(mitandaoni, oh, eh)
[pre_chorus 3: bien_aimé]
shemeji zangu, ndugu zako, tukionana
waambie sisi bado rafiki, eh, eh
wasinipite barabarani, mama, oh
umeenda lote, mama
umeenda lote, mama
[chorus: sauti sol and bien_aimé]
mpenzi, unaenda (mpenzi, oh, baby)
nilikuenzi kinomanoma (oh, jana, no, no)
yashamwagika, hayazoleki haya, oh
basi nenda lote, mama
nenda lote, mama
mpenzi, unaenda (mpenzi, eh)
nilikuenzi kinomanoma (eh, yeh, yeh, yeh, yeh, yeh, yeh)
yashamwagika, hayazoleki haya, oh (hayazoleki haya, oh)
nenda lote, mama (mama, mama)
nenda lote, mama
كلمات أغنية عشوائية
- major psyche - acid كلمات الأغنية
- edge of forever - made it through كلمات الأغنية
- jasiah - i just want a genuine smile كلمات الأغنية
- karl william - comfortable كلمات الأغنية
- ayshea - mister white's white flying machine كلمات الأغنية
- misty eyed - this was not a suicide كلمات الأغنية
- kevin dickerson - imbalances كلمات الأغنية
- m-shey - parkoló interlude كلمات الأغنية
- kevin dickerson - natural light كلمات الأغنية
- skorum - the reddening part 1 كلمات الأغنية