sauti sol - kuliko jana (feat. aaron rimbui) lyrics
bwana ni mwokozi w-ngu, tena ni kiongozi w-ngu
ananipenda leo kuliko jana
baraka zake hazikwishi, si kama binadamu habadiliki
ananipenda leo kuliko jana
kuliko jana
kuliko jana
yesu nipende leo kuliko jana
kuliko jana
kuliko jana
yesu nipende leo kuliko jana
nakuomba mungu awasamehe
w-ngalijua jinsi unavyonipenda mimi wasingenisema
na maadui w-ngu nawaombe maisha marefu, wazidi kuona ukinibariki
ujue binadamu ni waajabu sana
walimkana yesu mara tatu kabla jogoo kuwika
ujue binadamu ni waajabu sana
walimsulubisha yesu messiah bila kusita
bwana ni mwokozi w-ngu, tena ni kiongozi w-ngu
ananipenda leo kuliko jana
baraka zake hazikwishi, si kama binadamu habadiliki
ananipenda leo kuliko jana
kuliko jana
kuliko jana
yesu nipende leo kuliko jana
kuliko jana
kuliko jana
yesu nipende leo kuliko jana
wewe ndio nategemea, kufa kupona baba nakutegemea
chochote kitanikatsia, kuingia binguni utaniondolea (oooh oooh yeah)
wewe ndio nategemea, (amen) kufa kupona baba nakutegemea (oh oh)
chochote kitanikatsia, kuingia binguni utaniondolea (wewe, ndio nategemea)
wewe ndio nategemea, kufa kupona ndio nategemea (eh bwana)
chochote kitanikatsia, kuingia binguni utaniondolea (eh, maisha yangu yote)
wewe ndio nategemea, (kwa nguvu zangu zote), kufa kupona baba nakutegemea (nakutegemea)
chochote kitanikatsia, kuingia binguni utaniondolea (oooooooh)
bwana ni mwokozi w-ngu, tena ni mkombozi w-ngu
ananipenda leo kuliko jana
baraka zake hazikwishi, si kama binadamu habadiliki
ananipenda leo kuliko jana
kuliko jana
kuliko jana
yesu nipende leo kuliko jana
kuliko jana
kuliko jana
yesu nipende leo kuliko jana
wewe ndio nategemea (wewe), kufa kupona baba nakutegemea (wewe)
chochote kitanikatsia (uh-huh), kuingia binguni utaniondolea
wewe ndio nategemea (oooh), kufa kupona baba nakutegemea (nakutegemea)
chochote kitanikatsia kuingia binguni utaniondolea
bwana ni mwokozi w-ngu, tena ni mkombozi w-ngu
ananipenda leo kuliko jana
baraka zake hazikwishi, si kama binadamu habadiliki
ananipenda leo kuliko jana
kuliko jana
kuliko jana
nipende leo kuliko jana
…
كلمات أغنية عشوائية
- simulated youth - nbt (feat. camoragi) [old version] lyrics
- terrace martin - this morning lyrics
- ana bacalhau - não é nada lyrics
- jános koós - gyerünk charley lyrics
- lil scrivy - slide thru lyrics
- mau power - tree of life lyrics
- tamer hosny - enty elly ’aamalty | إنتي اللي عملتي lyrics
- ramayama feat. homeboyq - preparau con un blunt lyrics
- bettye swann - til i get it right lyrics
- rozi golub - pogodi ko dolazi lyrics