kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

sauti sol - kamasutra كلمات الأغنية

Loading...

[intro]
sauti sol (sauti sol)
vee money on the track
oh

[chorus: sauti sol & vanessa mdee]
leo kama- kamasutra mama (kamasutra)
kama- kama- kamasutra mama ye, ye, yeyee (kamasutra)
kama- kama- kamasutra baba (kamasutra)
kama- kama- kamasutra baba ye, ye , yeyee (kamasutra)

[verse 1: vanessa mdee & sauti sol]
nitakupa kazi upande mlima, baby, yeah
na siri zangu zote nitatoboa, yeah
so many things i want to do to you, my baby, yeah
na siri zako mi’ sitatoboa, huh

[verse 2: sauti sol]
selektah
i got something to make you better
like the fire mi’ napepeta
like the fire mi’ napepeta, eeh
selektah (selektah)
i got something to make you better (better)
like the fire mi’ napepeta (pepeta)
like the fire mi’ napepeta (pepeta)

[chorus: sauti sol & vanessa mdee]
leo kama- kamasutra mama (kamasutra)
kama- kama- kamasutra baby ye, ye, yeyee (kamasutra)
kama- kama- kamasutra baba, eeh, ooh (kamasutra)
kama- kama- kamasutra baba ye, ye , yeyee (kamasutra)

[verse 3: vanessa mdee & sauti sol]
chali wa nairobi manzi wa [?]
leo ni mahaba nakupatia
rusha washa nari hamjam kare
leo michuano [?] jamila
na si marimari, hii bei kali
cash madam nakubalika
mboga juu ya meza teleza kimrenda
washa udi na kadhalika
vanessa, i got something to make you wetter
baby, let me kiss it better
like the fire mi’ napepeta
selektah, i got something to make you rise up
lemme back it up on you
like the fire mi’ napepeta

leo kama kamasutra (kamasutra)
kamasutra (kamasutra)
kama- kama- kamasutra (kamasutra)
kamasutra (kamasutra)

[verse 4: sauti sol, vanessa mdee,, both]
mapenzi yake [?] yanimaliza
kiuno kama [?], baby, punguza
tulishakubali wanafunzi, wewe professor wa kamasutra
mapenzi yake [?] pachika (pachika) uno kama [?] , baby, tulia (tulia)
bali wanafunzi mimi professor (professor)
kamasutra
mizani kama mimi naondoka nawe
napiga mahesabu naondoka nawe
[?] kuondoka na wewe (wewe) (kamasutra}
mizani kama mimi naondoka nawe
napiga mahesabu naondoka nawe

leo kama kamasutra (kamasutra)
kamasutra (kamasutra)
kama- kama- kamasutra (kamasutra)
kamasutra (kamasutra)

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...