
sauti sol - asante sana baba كلمات أغنية
asante sana baba yangu
umenipa mafunzo ya ajabu
kunifunza kweli ni taabu
nafanya kazi usiaibike x2sintokusahau maishani baba yangu
umenielimisha, rekebisha kanipa mawaidha
baisikeli kanipandisha
nguo za kifahari kanivalisha
nayo majuto ni mjukuu
tega sikio usiseme i wish i knewasante sana baba yangu
umenipa mafunzo ya ajabu
kunifunza kweli ni taabu
nafanya kazi usiaibike x2huuuuuuuu baba heiiii
desturi na mila [umenifundisha]
kulinda familia [aaaaahhhhhh]
kuheshimu bibilia [bibilia kabisa]
k_mtunza malkia [maaaaaama]
mtu mwenye heshima [na kila hekima]
mfano mwema [aaaaaaahhhh]
kwa kupanda na kulima [umenishughulikia]
mfano mwema, [babaaaaaaaa]asante sana baba yangu
umenipa mafunzo ya ajabu
kunifunza kweli ni taabu
nafanya kazi usiaibike
baba baba baba baba [yangu]
asante sana baba yangu [ni wewe]
umenipa mafunzo ya ajabu [eeeeeehhh]
kunifunza kweli ni taabu [ni wewe baba]
nafanya kazi usiaibike
aaaaaaaaaaaaaaaaa x3uuuuuuuuuuuuuuu x2asante sana baba yangu
umenipa mafunzo ya ajabu
kunifunza kweli ni taabu
nafanya kazi usiaibike x2
aaaa asante
daddy ooooh
dadddy ooododoooe
wewe ni baba [daddy ooooh]
wewe ni baba [ooooooh]
wewe ni baba yangu
wewe ni baba
wewe ni baba yangu
wewe ni baba
wewe ni baba [weweeeee weweeeee]
wewe ni baba yangu
wewe uweiyeiye
wewe ni baba
wewe weweeee
wewe ni daddy daddy daddy daddy daddy daddy
wewe ni baba
كلمات أغنية عشوائية
- niños surf - todos me odian كلمات أغنية
- gilberto daza - ¿quién dijo miedo? كلمات أغنية
- philthy rich - piss codeine كلمات أغنية
- knxwledge - minding_my business كلمات أغنية
- dornelles - trip كلمات أغنية
- gilberto daza - cómo no entregarme كلمات أغنية
- shreya ghoshal - nah woh main in hindi (ना वोह में) | shreya ghoshal كلمات أغنية
- lloydthe2nd - the limit كلمات أغنية
- rich white ladies - fly كلمات أغنية
- neptune ( luca durante) - far apart كلمات أغنية