
sauceboiz - si rahisi كلمات أغنية
[chorus: linkyonwaves]
si rahisi kupatanga hizi madoh
si rahisi kupanda stage mada mashow
si rahisi kupata dame ana itw_ngwa flo
si rahisi me kudishi manzi vi raw
si rahisi (yeah)
si rahisi (yeah)
si rahisi itabidi ume ng’ang’ana bro
si rahisi nairobi imejaza ma_thot
si rahisi, si rahisi
[verse 1: moofasa]
si rahisi zikishika unipate home (home)
me si fisi lakini naweza kutolea form (form)
na hii baridi si rahisi unitupe zone (zone)
si rahisi hii jiji unipate niki roam
niki saka loan
linky on my phone (on my phone)
ana_dai si rahisi si kukuwa broke
ita bidi umetesa bro (umetesa bro)
piga wera buda saka doh
[chorus: linkyonwaves]
si rahisi kupatanga hizi madoh
si rahisi kupanda stage mada mashow
si rahisi kupata dame ana itw_ngwa flo
si rahisi me kudishi manzi vi raw
si rahisi (yeah)
si rahisi (yeah)
si rahisi itabidi ume ng’ang’ana bro
si rahisi nairobi imejaza ma_thot
si rahisi, si rahisi
[verse2: moofasa & linkyonwaves]
ku_lay madem sio easy sina mullah yoh
kucheza chini sio easy uta_chaf_ka yoh
tuna chaf_ka but hii nai tuna saka doh
gang gang ndio sisi cheza mbali bro
dame yako aki_mess huta mpata home
ame_tingika ako ma tings anadai tu bond
[chorus: linkyonwaves]
si rahisi kupatanga hizi madoh
si rahisi kupanda stage mada mashow
si rahisi kupata dame ana itw_ngwa flo
si rahisi me kudishi manzi vi raw
si rahisi (yeah)
si rahisi (yeah)
si rahisi itabidi ume ng’ang’ana bro
كلمات أغنية عشوائية
- mike kenli - laisse moi une chance كلمات أغنية
- progress - good greaf كلمات أغنية
- sizzla - dem a wonder كلمات أغنية
- yamaguchi - play2much كلمات أغنية
- palace ferretti - tutto bene prima che tu arrivassi... كلمات أغنية
- aaron buchanan and the cult classics - a god is no friend كلمات أغنية
- hugh jackman - love crazy كلمات أغنية
- jakob hellman - tårarna كلمات أغنية
- kig v2 - ritch bitch كلمات أغنية
- same current - endless plains كلمات أغنية