sauceboiz - ngwariti كلمات الأغنية
(chorus: ke9)
jina ni mimi of course jina ni sisi
si hutokea jiji raw tuna supplyingi ziggy
uki ulizwa ni mimi niliwasha ngwariti
jina ni mimi of course jina ni sisi
si hutokea jiji raw tuna supplyingi ziggy
uki ulizwa ni mimi niliwasha ngwariti
(verse 1: papizzing)
kuwa roga afro shrap ngoma zetu ni anthem
kama kawaida sauceboiz we run them
marathon lover so we always keep jogging
told them i’m a make it they thought i was joking
uki leta umang’a joh ukule masoki
moofasa repping sauceboiz ile kikosi
tuli ingia bila kunawa but leta tusosi
mbogi bila password but bado we logged in
mali safi joh iende chain, kazi yetu joh ku entertain
tupige show joh fika bei, ukifika bei yeah we come again
uh, uh
(chorus: ke9)
jina ni mimi of course jina ni sisi
si hutokea jiji raw tuna supplyingi ziggy
uki ulizwa ni mimi niliwasha ngwariti
jina ni mimi of course jina ni sisi
si hutokea jiji raw tuna supplyingi ziggy
uki ulizwa ni mimi niliwasha ngwariti
(verse 2: ke9)
kamata, nacada nakam na hizi mashada
madem siku hizi form ni kutingisha tu haga
but kentrace hiyo beat nisha imada
wata skiza tu kwa streets ati westy mpaka mada
hunger, dander manyaru ni za mafala
me huvuta mbichwa highway aye kwa bara bara
niko high na ma brothers na vuruga hadi barracks
shrap game me ndio prezzo niite barack
(chorus: ke9)
jina ni mimi of course jina ni sisi
si hutokea jiji raw tuna supplyingi ziggy
uki ulizwa ni mimi niliwasha ngwariti
jina ni mimi of course jina ni sisi
si hutokea jiji raw tuna supplyingi ziggy
uki ulizwa ni mimi niliwasha ngwariti
(verse 3: eka 12)
siwezi lie of course zime riet
so sick more pills medicate
siwezi slack ni ku step niki songa
paper, pen nime medi niki chonga
tik tok men better keep off
fully loaded tuna ngoja kick_off
three p kwenye mic niite kobe
landlord ukinicheki lipa kodi
shrap vision tuna saka doh
opposition wana bonga more
but si tuko busy ina bidi tuwa sn0b
no resting huku paper chasing
levitating never ever stressing
i got shorties wote ni ma pengting
she got good vibes on the low
look how she wine aki shika pole
she got good vibes on the low
look how she wine aki shika pole
كلمات أغنية عشوائية
- meryl - ton tour كلمات الأغنية
- bandanna$aint - code red كلمات الأغنية
- davina michelle - all is ours (acoustic version) كلمات الأغنية
- drive (uk) - curfew (rebel funk mix) كلمات الأغنية
- cashout mike - money overdose كلمات الأغنية
- keith & kristyn getty - lord of all (live) كلمات الأغنية
- banks arcade - lost cause كلمات الأغنية
- blamekayy - balenciaga كلمات الأغنية
- protiva - na zádech كلمات الأغنية
- kris r. - ¿qué nos pasó? كلمات الأغنية