kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

sat-b - utamu كلمات الأغنية

Loading...

utamu by sat_b ft belle 9ice (lyrics)

verse 1:
ona tumependana hadi twafana
wameshauliza lini twaona
imeshatokea mingi mitihani
ila bado tuu twakazana

belle9ice:
jana nimepita kwa jirani
akatupa jiwe gizani
ati huyu ndiye yule binti mrembo aliyedata na penzi la msani
sat_b:
mayi we mayi we!
hivi nani kakudisi nambiye ni dili nayeye

belle 9ice:
honey we honey we
hao usiwape muda
wanaume kama kina dada

chorus:
baby we mtamu!
baby we mtamu
baby we mtamu
baby we mtamu
baby we mtamu
mtamu hadi napata wazimu
(x2)

hook:
i don’t need somebody
i just wanna love you my baby
i don’t need somebody
i just wanna love you my baby

verse 2:
sat_b:
umwambiye mama natafuta mali
nitakuja kukowa eeeh eeeh
belle9ice:
nitakwenda k_mpoza daddy
nimwambiye mambo bado
apunguze makasiriko
kwani maji yapo kwenye jiko

honey wee honey wee
icemezo naragifashe
niwewe w’ubuzima bwanje
ooh baby oooohhh

chorus:
baby we mtamu!
baby we mtamu
baby we mtamu
baby we mtamu
baby we mtamu
mtamu hadi napata wazimu
(x2)

hook:
i don’t need somebody
i just wanna love you my baby
i don’t need somebody
i just wanna love you my baby
my wee my weee
hivi nani kakudisi
niambiye ni deal nayeye aaah aaaah

chorus:
baby we mtamu!
baby we mtamu
baby we mtamu
baby we mtamu
baby we mtamu
mtamu hadi napata wazimu
(x2)

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...