kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

sarcabi - commando كلمات الأغنية

Loading...

sarcabi

mali imekubali yes bana
imeshika tu vitight kispana
imeniweza mpaka buda naitana
leo ni leo nayo nayo twapambana
aaaaahh…ahh…

hii sio mali ya uma
combination ya dhahabu na chuma
doo…
nanyenyekea kama kondoo
lakini time ikifika mi ni comma

mi ni commando

yoh niaje? uko fiti?
umechill for a while uko busy?
naeza kam through, tufanye one two
nikam na mavella ama drinks ivi?
hatujabonga for a week hivi
ju skuizi ata maform hazikupiti
si ma crop top, si ma keke
insta daily unapost kama fifty
baadaye nadungiwa kareply
emoji moja mbili ameshindwa kudecide
ati budake ni pai
na hapendi story za maguys
so nifike pale before nine
mali iko fiti, drive kama chizi
speed ya 150 gizane
rada iko fiti, rada iko safi
mimi niko pale niko ndane

mali imekubali yes bana
imeshika tu vitight kispana
imeniweza mpaka buda naitana
leo ni lеo nayo nayo twapambana
aaaaahh…ahh…

hii sio mali ya uma
combination ya dhahabu na chuma
doo…
nanyenyekea kama kondoo
lakini timе ikifika mi ni comandoo

bazenga bazu bazu
mi ni comandoo
bazenga bazu bazu
kama commando

bazenga bazu bazu
mi ni comandoo
bazenga bazu bazu
kama commando
knock knock, nimefika
iko wazi, ananiita
amepause anapiga mapicha
amejiseti tu kwa pose flani inaniita
ako ready, tunaseti
tunawai one, two, tunamedi
hapa ndani k_meshikana videadly
slow pace tunapelekana steady
ahh…

kuna gari kwa gate na ni mapema ata escape plan sij_panga
alifaa kufika late, itabidi nimehepa, hii ni ngori tumeblanda

sneak kama mwizi, drive kama chizi
speed ya 150 gizane
rada iko fiti, plan ya kila wiki
mimi niko pale niko ndane

form ya weekendi imeiva
combi ya bazenga na diva
dem mwitu ni magrip tu
akijipa kila time namaliza
roll kama peddi tu karizler
maweekend maforeplay mateazer
dem mwitu, ananidoo
ananimhh
na malips juu
mali imekubali yes bana
imeshika tu vitight kispana
imeniweza mpaka buda naitana
leo ni leo nayo nayo twapambana
aaaaahh…ahh…

hii sio mali ya uma
combination ya dhahabu na chuma
doo…
nanyenyekea kama kondoo
lakini time ikifika mi ni comandoo

bazenga bazu bazu
mi ni comandoo
bazenga bazu bazu
kama commando

bazenga bazu bazu
mi ni comandoo
bazenga bazu bazu
kama commando

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...