kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

saraphina - upo nyonyo كلمات الأغنية

Loading...

shamba la babu , nalima
nivune muhogo na shina
ni weh
tambarale mwa milima
kufika kilele lazima

nilishathubutu kupenda nisipopendwa
lakini siachi, ooh siachi
msumali wenye kutu nilichomwa nkapata donda
lakini siachi, ooh siachi

nilikondeana nashukuru hivi sasa mashallah
mambo mwanana
nimesitirika hewalah
nimelipata bwana
lakunidekeza nalala
tumeridhiana sina
muda wa k_m chiti wala eeh

nipo nyonyo, nipo titi
(aah nimejaaa tele)
nalishwa vinono nipo fiti
(aah, nimejaa tele)
aaah nipo nyonyo , nipo titi
(aah nimejaa tele)
nalishwa vinono, nipo fiti
(aah nimejaa tele)
sitaki chupa ya soda baby niletee energy
wajue upo na mimi watumie meseji ah
mi hoi lege lege
nitupie kwa bedi
kabisa n’garagaze
mpaka ni dеad

nilishathubutu kupenda nisipopendwa
lakini siachi, ooh siachi
msumali wenyе kutu nilichomwa nkapata donda
lakini siachi, ooh siachi

nilikondeana nashukuru hivi sasa mashallah
mambo mwanana
nimesitirika hewalah
nimelipata bwana
lakunidekeza nalala
tumeridhiana sina
muda wa k_m chiti wala eeh

nipo nyonyo, nipo titi
(aah nimejaaa tele)
nalishwa vinono nipo fiti
(aah, nimejaa tele)
aaah nipo nyonyo , nipo titi
(aah nimejaa tele)
nalishwa vinono, nipo fiti
(aah nimejaa tele)
dady mwambe

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...