saraphina - sitaki tena كلمات الأغنية
verse 1
nitachowaambia msiache k_mwambia na yeye ee
simchukii na na najipa mwenyewe oooh noo
mwambieni sijutii kuwa mbali nae apunguze presha aah
mwambieni sililii penzi lake nilisha lihitimisha ooh
hook
hazijabaki memory wala k_mbuk_mbu
nilishamsahau mazima
hata nikimuona namuona kaa nungunungu
sio kama namvunjia heshimaa
makombe amalize ajifushe na nyungu
akakoge na maji ya kisima
ila mimi nilishaapa kwa mwenyezi mungu
haitojirudia daima
chorus
sitaki tena
tena mwambieni asinisumbue mimi
sitaki tena
nipo bukheri na nafsi yangu uu
sitaki tena
abaki na zake nibaki na zaaanguuu
sitaki tena
nipo bukheri na nafsi yangu uuu
verse 2
dua zake mbaya kw_ngu nife lini lipo sasa najua aa
najua likiwaka kiza kikitanda ananiwaza najua
mwambieni asihangaike na mipasho moyo wake mimi naujua aa
sitaki k_mdhalilisha nikataja na siri zake nikamuumbua aah
hook
hazijabaki memory wala k_mbuk_mbu
nilishamsahau mazima
hata nikimuona namuona kaa nungunungu
sio kama namvunjia heshimaa
makombe amalize ajifushe na nyungu
akakoge na maji ya kisima
ila mimi nilishaapa kwa mwenyezi mungu
haitojirudia daima
chorus
sitaki tena
tena mwambieni asinisumbue mimi
sitaki tena
nipo bukheri na nafsi yangu uu
sitaki tena
abaki na zake nibaki na zaaanguuu
sitaki tena
nipo bukheri na nafsi yangu uuu
mwambieni sijutii kuwa mbali nae apunguze presha aaa
mwambieni sililii penzi lake nilisha lihitimisha ooh
كلمات أغنية عشوائية
- arty - idea of you كلمات الأغنية
- sef - repeat كلمات الأغنية
- plainride - all ears كلمات الأغنية
- doctor mc's - agora a casa cai كلمات الأغنية
- aha gazelle - illegal immigrants كلمات الأغنية
- above waves - new originals كلمات الأغنية
- karpe - blod, homie كلمات الأغنية
- little may - seven hours كلمات الأغنية
- o.t. genasis - money كلمات الأغنية
- accent - those things كلمات الأغنية