kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

sara nyongole - mkono wako كلمات الأغنية

Loading...

moyo w_ngu watamani
nitengeneze kibanda
changu mimi nawe

nafsi yangu yatamani
nitengeneze kibanda
changu mimi nawe

mimi nawe tuketi humo
ili niwe karibu nawe
siku zote maishani
mimi nawe tuketi humo
ili niwe karibu nawe
siku zote maishani

uweza wako
ninaomba nguvu zako
ninaomba mkono wako
uniguse
uweza wako
ninaomba nguvu zako
ninaomba mkono wako
uniguse
uweza wako
ninaomba nguvu zako
ninaomba mkono wako
uniguse
uweza wako
ninaomba nguvu zako
ninaomba mkono wako
uniguse

mkono wako si mfupi
sikio lako sio zito
hata usisikie ombi langu
najua unanitazama
mkono wako si mfupi
sikio lako sio zito
najua unanitazama
na ombi langu umelisikia

mkono wako si mfupi
usiniguse
sikio lako sio zito
usisikie
mkono wako si mfupi
usiniguse
sikio lako sio zito
usisikie

mkono wako si mfupi
sikio lako sio zito
usisikie ombi langu
naamini unanitzama

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...