
sara nyongole - fungua كلمات أغنية
iliyopondeka
itetemekayo
iliyofunguka
watoto wako bwana
tuko mbele zako tunaomba
uponye mioyo yetu
utufanye upya tena
watoto wako bwana
tumekusanyika tunaomba
uponye mioyo yetu
utufanye upya tena
fungua
mioyo yetu bwana iponye
fungua
mioyo yetu bwana ipone
fungua, fungua
mioyo yetu
fungua, ipone
fungua, fungua
mioyo yetu
bwana, ipone
fungua, fungua
mioyo yetu
fungua, ipone
fungua, fungua
mioyo yetu
bwana, ipone
najua unapendezwa
na moyo ule uliopondeka
utetemekao pale usikiapo neno lako
najua unapendezwa
na moyo ule uliopondeka
utetemekao pale usikiapo neno lako
fungua
mioyo yetu bwana ipone
yesu fungua
mioyo yetu bwana ipone
fungua, fungua
mioyo yetu
fungua, ipone
fungua, fungua
mioyo yetu
bwana, ipone
fungua, fungua
mioyo yetu
fungua, ipone
fungua, fungua
mioyo yetu
bwana, ipone
mioyo
iliyopondeka
mioyo
itetemekayo
mioyo
iliyofunguka
mioyo
iliyopondeka
mioyo
itetemekayo
mioyo
iliyofunguka
iliyopondeka
itetemekayo
كلمات أغنية عشوائية
- al baladi - n10 كلمات أغنية
- ásmegin - gengangeren كلمات أغنية
- young oak - decisions كلمات أغنية
- amaflow - dubs كلمات أغنية
- angel martyr - black twin rising كلمات أغنية
- hensonn - prey كلمات أغنية
- creeping charlie - intro (i don't ball pt. i) كلمات أغنية
- pori - endgame كلمات أغنية
- carl perkins - my old friend كلمات أغنية
- calvin hood - born to win remix كلمات أغنية