salmin swaggz - watoto wa mjini كلمات الأغنية
[verse 1: young lunya]
sikatai hua nakesha, kesha
nikipata pesa hua nakesha
ila we unakesha, kesha
hata ka huna hela we unakesha
haukatazwi kukesha, kesha
unaweza saka pesa kwa kukesha
sasa we ukikesha unapandwa na presha
unawaza upate picha za kuonesha
keshooo kwenye instagram
wakati maisha yako ni magumu
ila sasa ulivyo bishoo kwenye instagram
shida yako kuwa star, kwenye insta
uwe unaongelewa ndo yeye
aliyempost wolper kwenye account yake yenye milioni 2
ndo yeye
aliyepiga selfie kwa jirani anapost tena anasema kwake
ndo yeye
anayejiita queen ig k-mbe jina lake halisi chausiku ndo yeye
sitaki kuamini ndo yeye, j-po ndo yeye
[chorus: jux]
kisa mi naflex navimba, napost picha kali ig
wana wanagongea mandinga, wapige picha wapost ig
haya maisha mi siigizi
haya maisha yangu wala mi siigizi
all i do live is my life
(siwezi kufake kama watoto wa mjini, siwezi kufake kama)
all i do live is my life
(siwezi kufake kama watoto wa mjini, siwezi kufake kama)
all i do live is my life, my life, my life
(siwezi kufake kama watoto wa mjini, siwezi kufake kama)
all i do live is my life, my life, my life
(siwezi kufake kama watoto wa mjini, siwezi kufake kama)
[verse 2: con boi]
i put a smile on my face like i don’t even care
b-tches want attention so wanapost umbea
sijuiniko wapi for vacay that’s what caption says
i know you fake, tulikuona kitaa same day
maisha mnayoigiza, si tunayajua in and out
mnaomba simu mpige picha f-ck it put it down
man, i’m talking these n-gg-s walioko instagram
n-gg-‘s taking pictures getting likes kajivika crown
look at my new dress, straigh outta store
and put a lotta sh-t on caption we aint gotta know
team zenu za kijinga we aint f-cking know
team flani team flani we aint gotta know
bitozi nae anakua ka shosti insta
eti anapost anapozi na dog filter
that’s so g-y wala sio sifa
we always straight, we never switched up
cocaine, c-cktail, coco sheesha ameshavuta mbwa koko wa cocaine mmeshakwisha kuishi kwenu ig
mkijifanya big mkishea mademu zenu big g, hainiingii
[chorus: jux]
kisa mi naflex navimba, napost picha kali ig
wana wanagongea mandinga, wapige picha wapost ig
haya maisha mi siigizi
haya maisha yangu wala mi siigizi
all i do live is my life
(siwezi kufake kama watoto wa mjini, siwezi kufake kama)
all i do live is my life
(siwezi kufake kama watoto wa mjini, siwezi kufake kama)
all i do live is my life, my life, my life
(siwezi kufake kama watoto wa mjini, siwezi kufake kama)
all i do live is my life, my life, my life
(siwezi kufake kama watoto wa mjini, siwezi kufake kama)
[verse 3: salmin swaggz]
shawty kanipost ig
anataka report, nisharepost? sinaga time, so chill
kama baba ako anatembelea discover 3
baba angu beamer na benz ni kama mp3
and i go this harder nisake nitafute vyangu
kwa maana nna kaka, dada na mistari ya ndugu zangu
kana kwamba tu akidrop ntapush kwa trip zangu ilaaa
sio ka kitaa sina (vyangu)
she pull a gun like it’s murder kimada hajawahi k-murder
tuki-kubana harder utasema pistol ya dada
sa kwa-nini unapost like it’s your f-cking property
afu tukisema mnafake mnatuita talkatives
and i do this right, hii ni black and white
any moment on the light siwasemi
zile fb basi, usifanye ni must
na niposti basi don’t tell me
na kuhusu heshima this the game that we do
sio kila ukiona camera n-gg- unasema me too
[chorus: jux]
kisa mi naflex navimba, napost picha kali ig
wana wanagongea mandinga, wapige picha wapost ig
haya maisha mi siigizi
haya maisha yangu wala mi siigizi
all i do live is my life
(siwezi kufake kama watoto wa mjini, siwezi kufake kama)
all i do live is my life
(siwezi kufake kama watoto wa mjini, siwezi kufake kama)
all i do live is my life, my life, my life
(siwezi kufake kama watoto wa mjini, siwezi kufake kama)
all i do live is my life, my life, my life
(siwezi kufake kama watoto wa mjini, siwezi kufake kama)
كلمات أغنية عشوائية
- papa sleep - outcast كلمات الأغنية
- shikadams - razbeg كلمات الأغنية
- tony forrestt - different كلمات الأغنية
- intan chacha - sing dirindu wes nduwe bojo كلمات الأغنية
- zé vaqueiro - cidade inteira كلمات الأغنية
- tobi dolezor - 32 k كلمات الأغنية
- koji kali - motive كلمات الأغنية
- donny bravo - lick كلمات الأغنية
- alphabyte & zettabyte - roll down كلمات الأغنية
- puer dope - see you again كلمات الأغنية