kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

salmin swaggz - for the hood كلمات الأغنية

Loading...

[intro]
we come alive (come alive yow)
you get it straight
yeah
[verse 1]
hauna haja ya kwenda kule ka unaona uko safe here
wanakimbia sana shule but they get themselves here
usiwaze kuhusu mimi ubongo w-ngu ni bright spear
hata kama sitachana mi bado utanisikia
na bado watanisifia kina brit kina spears
na hii, ndo inaowafanya wanao-fake wana-fear
na mi, ndo mgeni wa honor so you guess who is here
naishi kwenye mars na nikire-birth tanzania
njia zangu ni ngumu na huwezi kupita ka huna nia
nafungua pazia wanabaki tu kuskilizia
walinipania leo wanakesha wakinisifia
swagger ziko mia so sina pressure ukinichukia
sina beef, nimesettle na beto like how i’m living
na usiponikuta ghetto safiri, ni kwenye sky chlling
i wonder w-ngapi watalia that i’m leaving
i’m k!llin’ then disappear and you can’t see me like your boy steven

[hook]
we (do it) x2, do it for the money
do it for the streets, do it for the hood
we do it do it, do it for the money (t-shillings)
(one for the money)
[repeat]

[verse 2]
they came out with the best idea
kua hili beat liko poa hata kufreestylia
what i rap zaidi ya mechi simba-ismailia
w-nga walinifumba macho but i’m still right here
nna kiraru kama niko kwenye need for speedy
i’m out here mbali got them out so greedy
wanahofia ntaposmama kama freestyle biggie
huwezi kuchana motto wa mama niko zig-zag-ziggy
naona beat liko black, niko back bila playback, stay back
ni–as walidiss toka wayback
cl-ssic, line zinasmama kwenye traffic
i’ll make your future disappear -wallah- magic
mdundo koko mdomoni mwa mnyama-nyika
ukishapendwa na watoto unashtuka umeteka rika
unachana kitoto kamwe haunikuti na imeandikwa
flow zangu ni moto ka una mkono kuti huwezi shika

[hook]
we (do it) x2, do it for the money
do it for the streets, do it for the hood
we do it do it, do it for the money (t-shillings)
(one for the money)
[repeat]

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...