kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

sailors - pekejeng كلمات الأغنية

Loading...

[chorus: miracle baby]
hii si ya uzembe lazima iwaweze
ka beat kako plain na hakajaongezewa zeze
shika zigo kwa mabra na ukaze (aah)
ili mwenye hana (hmmm)
ili mwenye hana (hmmm)
ili mwenye hana abaki zile za ghai
ghai, ghai, ghai ghai, ghai, ghai, ghai, ghai
ghai, ghai, ghai ghai, ghai, ghai, ghai, ghai
legeza (chii)
legeza (mama)
legeza kiuno ni pekejeng (pekejeng)
legeza (chii)
legeza (mama)
legeza steki ni pekejeng (pekejeng)
legeza (hii)
legeza (mama)
legeza zigo ni pekejeng (pekejeng)
legeza (hii)
legeza (mama)
legeza diaba ni pekejeng (pekejeng)
pekejeng, pekejeng, pekejeng (pekejeng)
pekejeng, peke-jua, pekejeng (pekejeng)
pekejeng, pekejeng, pekejeng (pekejeng)
aaaah… pekejeng

[verse 1: masilver]
wanabebwa na uber kando ma scooter
ile vako ya makaa ju me ndio gas cooker
kauka spell, ukiitisha napaka mafuta
kakijipa nikachapanishe na ukuta
nikachape hadi kachachishe kawe mbuta
ulegeze zigo nibanju, mandom me huvuta
ukiingia kw-ngu itabidi umeikung’uta
makejani wikendi lazima utoe form
na mambleina wakilandi sisi tuwa bombom

[chorus: miracle baby]
hii si ya uzembe lazima iwaweze
ka beat kako plain na hakajaongezewa zeze
shika zigo kwa mabra na ukaze (aah)
ili mwenye hana (hmmm)
ili mwenye hana (hmmm)
ili mwenye hana abaki zile za ghai
ghai, ghai, ghai ghai, ghai, ghai, ghai, ghai
ghai, ghai, ghai ghai, ghai, ghai, ghai, ghai
legeza (chii)
legeza (mama)
legeza kiuno ni pekejeng (pekejeng)
legeza (chii)
legeza (mama)
legeza steki ni pekejeng (pekejeng)
legeza (hii)
legeza (mama)
legeza zigo ni pekejeng (pekejeng)
legeza (hii)
legeza (mama)
legeza diaba ni pekejeng (pekejeng)
pekejeng, pekejeng, pekejeng (pekejeng)
pekejeng, peke-jua, pekejeng (pekejeng)
pekejeng, pekejeng, pekejeng (pekejeng)
aaaah… pekejeng

[verse 2: shalkido]
form yeah
sailors on the beat
1, 2 leta zogo nikuwekee ka beef
tuliturn up bon’eye mono eye
tukapaste, sasa tumerudi
tumekam na the beast
hitmaker lunatics now on the mic
sailors dna we gonna make it
wanna lit
dancing to the beat
you skippin on the feet?
whinning like a fake
you twerking on the feet?
nimepata kwamboka, hunny she a thwee
like the way you legeza, is it tilla wet
like chapati geuka wanna make you sweat
wanna make you leg-over when i pull it out
sasa tumechachisha sema pekejeng (pekejeng)

[pre-chorus: miracle baby]
pekejeng, pekejeng, pekejeng (pekejeng)
pekejeng, pekejeng, pekejeng (pekejeng)
pekejeng, peke-jua, pekejeng (pekejeng)
pekejeng, pekejeng, pekejeng (pekejeng)

[chorus: miracle baby]
hii si ya uzembe lazima iwaweze
ka beat kako plain na hakajaongezewa zeze
shika zigo kwa mabra na ukaze (aah)
ili mwenye hana (hmmm)
ili mwenye hana (hmmm)
ili mwenye hana abaki zile za ghai
ghai, ghai, ghai ghai, ghai, ghai, ghai, ghai
ghai, ghai, ghai ghai, ghai, ghai, ghai, ghai
legeza (chii)
legeza (mama)
legeza kiuno ni pekejeng (pekejeng)
legeza (chii)
legeza (mama)
legeza steki ni pekejeng (pekejeng)
legeza (hii)
legeza (mama)
legeza zigo ni pekejeng (pekejeng)
legeza (hii)
legeza (mama)
legeza diaba ni pekejeng (pekejeng)
pekejeng, pekejeng, pekejeng (pekejeng)
pekejeng, peke-jua, pekejeng (pekejeng)
pekejeng, pekejeng, pekejeng (pekejeng)
aaaah… pekejeng

[verse 3: miracle baby]
hii nayo kali ni kama imeongezewa makali
imepigwa tiki hadi na kina jua cali
tutapiga wera hata kama jua ni kaliii
ili after janta ni kubaki na ma mali
nashika jaba inanifanya ni sign form
nadungia alexi ananishow ako na mandom
qoqos juma naye -n-lia ana madem
kina njoki, mwende na kina shamim

[verse 4: masilver]
tukimeet nakuw-nga serious party na
cheki yule dem vile anahioria matina
ananichanganya hadi nasahau majina
madiaba huku mingi nakwambia usicheze bruh
order, order kila mtu na wake
na ikiwezekana mpee, ama umpee mate
shika diaba to your best na umshow akate
ju ya mwisho ni chorus
na ina shika mzika design ya makete
ate, design ya makete kete

[pre-chorus: miracle baby]
pekejeng, pekejeng, pekejeng (pekejeng)
pekejeng, pekejeng, pekejeng (pekejeng)
pekejeng, peke-jua, pekejeng (pekejeng)
pekejeng, pekejeng, pekejeng (pekejeng)

sailors gang!

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...