kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

sabah salum - katoka bomu mwezetu كلمات الأغنية

Loading...

umeusahau utuu kachoka kufdhiliwaa
kajifanya mtukutu hatakii la kuambiwaa
umeusahau utuu kachoka kufdhiliwaa
kajifanya mtukutu hatakii la kuambiwaa
ameliishwa mrutuutuu kafikirii ni halawa
ameliishwa mrutuutuu kafikirii ni halawa

katoka bomu mwenzetu wazimu tele kaingiliwaaa
katoka bomu mwenzetu wazimu tele kaingiliwaaa

katoka bomu mwenzetu kapikiwa na upatuu
katoka bomu mwenzetu kapikiwa na upatuu
ni yeye kidudu mtu roho imejaa kutuu
ni yeye kidudu mtu roho imejaa kutuu
kuongea athubutu uyo athubutuu
kuongea athubutu uyo athubutuu
ooooohhh aaaaahhhhhh
ooooohhh mmmmmmmmmhhhhhh

kujisifia kwa watu haya ameziondoaa
vyangu kathamini kituu mwenyewe ajiumbuaa
ujisifia kwa watu haya ameziondoaa
vyangu kathamini kituu mwenyewe ajiumbuaa
roho imejaaa kutu hawezi kujizogowa
roho imejaaa kutu hawezi kujizogowa
si mwingine huyu wetu k_mbe kesha changanyikiwa
si mwingine huyu wetu k_mbe kesha changanyikiwa

katoka bomu mwenzetu kapikiwa na upatuu
katoka bomu mwenzetu kapikiwa na upatuu
ni yeye kidudu mtu roho imejaa kutuu
ni yeye kidudu mtu roho imejaa kutuu
kuongea athubutu uyo athubutuu
kuongea athubutu uyo athubutuu

wayavamia ya watu umati washatambua
kuongea athubutu hewani ameshatiwaaa
wayavamia ya watu umati washatambua
kuongea athubutu hewani ameshatiwaaa
apigiwa na upatu h_n_lokesha humiwa
apigiwa na upatu h_n_lokesha humiwa
ni yeye kidudu mtu amekishwa kuzingua
ni yeye kidudu mtu amekishwa kuzingua
katoka bomu mwenzetu kapikiwa na upatuu
katoka bomu mwenzetu kapikiwa na upatuu
ni yeye kidudu mtu roho imejaa kutuu
ni yeye kidudu mtu roho imejaa kutuu
kuongea athubutu uyo athubutuu
kuongea athubutu uyo athubutuu

yumo kinywani mwa chatu hila zote kaishiwa
mfano jisu butu makali yashapunguaaa
yumo kinywani mwa chatu hila zote kaishiwa
mfano jisu butu makali yashapunguaaa
hatoendela katu dhahiri anazomewaaa
hatoendela katu dhahiri anazomewaaa
hasogei tena kwetu kudanganya kazoeaaa
hasogei tena kwetu kudanganya kazoeaaa

katoka bomu mwenzetu kapikiwa na upatuu
katoka bomu mwenzetu kapikiwa na upatuu
ni yeye kidudu mtu roho imejaa kutuu
ni yeye kidudu mtu roho imejaa kutuu
kuongea athubutu uyo athubutuu
kuongea athubutu uyo athubutuu

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...