kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ruby – alele كلمات اغاني

Loading...

its bob manecky.. heeh yeaah…
nikisema nitakufa
kisa mapenzi, moyoni nitamkosea
wanayadhani nina ufa
hakuna mwenzangu, nyumba inamdondokea

mi najua
sina dhamani kwako utanik-mbuka
nishatenda wema
mi nakwenda zangu utanik-mbuka

poleza na moyo we, mwaya we
najua amekuumiza
ila yupo mungu, baba
najua atalipiza

6 fast rising nigerian artist to watch out for in 2019

pole sana moyo, mwaya
najua amekuumiza
ila yupo mungu,baba
najua atalipiza

alele, nishalia
alele, nikaumia
alele, sina dhamani kwako
alele, mtima ulilia
alele, maana wengine wapo…

alele, nishalia
alele, nikaumia
alele, sina dhamani kwako
alele, mtima ulilia
alele, maana wengine wapo…

kwa mitaa jamaa anaandamana
kweli mapenzi y-n-liliwaa
niliachaga drama na ujana
eey yeah…

yalianzaga enzi
ikanenaga na nafsi acha nivumilie
jamani mapenzi
yamekuwa hadithi acha nisimulie

poleza na moyo we, mwaya we
najua amekuumiza
ila yupo mungu, baba
najua atalipiza

pole sana moyo, mwaya
najua amekuumiza
ila yupo mungu,baba
najua atalipiza

alele, nishalia
alele, nikaumia
alele, sina dhamani kwako
alele, mtima ulilia
alele, maana wengine wapo…

alele, nishalia
alele, nikaumia
alele, sina dhamani kwako
alele, mtima ulilia
alele, maana wengine wapo

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...