kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

rykim - ndivyo nilivyo كلمات الأغنية

Loading...

rykim ft. dj mchungwa ndivyo nilivyo prod. by bako mo tz lyrics

[rykim]
[intro]
mo tz uyapenga kakhulu umfowethu

[verse 1]
ndivyo nilivyo n-z-di kunyonga
ndivyo nilivyo n-z-di kusonga
ndivyo nilivyo n-z-di kupanga
ndivyo vilivyo viliumbwa na muumba
ndivyo walivyo kuroga kama w-nga
sisi tulivyo hatushiki manyanga
check vinanda vyazidi kubranda branda
ndivyo tulivyo maisha ni zali
pata kukosa twazidi kusali
kama ajakupa usitake kupanic
pan’ pan’ panic
nataka mazuri i’m doing it for good
namake my life kwa bidii
heshima kwa muumba naichanganya rumba
kwa trap narap sipingi
mazuri ni mengi
majungu sipendi
yana mirangi
kama maisha ni draft na mimi ndio king
(habari gani)

[bridge]
wadada wakali wakiniona kaudenda katoka
(ndivyo nilivyo)
sichoki kufata nachanga karata nakata
(ndivyo nilivyo)
upuuzi sifanyi kiburi n-z-di kuchapa
(ndivyo nilivyo)
upuuzi sifanyi kiburi n-z-di kuchapa
(ndivyo nilivyo)

[hook]
score!
mshike mkono barida
(hah-haah)
mshike mkono barida
(hah-haah)
mshike mkono barida
(hah-haah)
mshike mkono barada
(hah-haah)

(awe aww awe doh! st–zy
majavas uyabona manje s’qala s’qeda
eh! bako rapper bako records)

[verse]
hawa marapper hawako na visa
sasa nataka kupaza mavita
sasa nataka wa ch-r-sha magiza
na sasa naangaza mw-ngaza
muda umezidi kudolo
nikaanza kutype michoro
nikaanza maandishi ya solo
nikaanza kuchora michoro
n-z-dich-r-sha natamba natesa
sichoki kusaka nasaka masifa
ndio nasaka sitaki kusota
(sitaki kusota)
mimi ni rapper
mimi ni nani?
mimi ni rapper
(habari gani?)

[bridge]
wadada wakali wakiniona kaudenda katoka
(ndivyo nilivyo)
sichoki kufata nachanga karata nakata
(ndivyo nilivyo)
upuuzi sifanyi kiburi n-z-di kuchapa
(ndivyo nilivyo)
upuuzi sifanyi kiburi n-z-di kuchapa
(ndivyo nilivyo)

[hook]
score!
mshike mkono barida
(hah-haah)
mshike mkono barida
(hah-haah)
mshike mkono barida
(hah-haah)
mshike mkono barada
(hah-haah)

[dj mchungwa & rykim]
[dj mchungwa]
hizi swagger swagger daily watu wanadelay
[rykim]
mchungwa & rykim on the beat flaw
[dj mchungwa]
hizi zaga zaga ndizo zangu everyday…
love, rose, looses ye’tatizo ndio tatuzi
songa mbele, haina kwele, pesa mbele
(hah-haah)
hivi wewe huoni gele
jinsi nilivyo kama mbelr
mshike mshike, kama vipi akatike
umuite…

[hook]
score!
mshike mkono barida
(hah-haah)
mshike mkono barida
(hah-haah)
mshike mkono barida
(hah-haah)
mshike mkono barada
(hah-haah)

[outro]
twende ughay’ (haybo)
twende ughaybun (haybo) x4

s’cabanga kakhulu ngemiculo yethu

thank you for reading
support good music
rykim ft. dj mchungwa
prod. by bako mo tz
available on mdundo.com
soundscloud.com
youtube.com

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...