ruby - forever lyrics
mhhhhh mhhhh
kosa si kosa tunashout hadharani
sometimes njoo tugombanie chumbani haya mapendo yasikatie njiani
napenda ukifurahi cause moyoni my number one
haki ya mungu walahi kesho tutaiona sky
napenda ukifurahi cause moyoni my number one
haki ya mungu walahi kesho tutaiona sky
baby i love you forever zaidi tuwe wote togather baby i love you forever zaidi tuwe wote togather
maneno maneno yasivuruge amani tuipinge kesho wasichekee pembeni
ana anado si mchezo si utani napenda ukismile cause moyoni we mjanja w-ngu
haki ya mungu huelewi jinsi unaniweka high
napenda ukismile cause moyoni we mjanja w-ngu
haki ya mungu huelewi jinsi unaniweka high
baby i love you forever
zaidi tuwe wote togather
baby i love you forever zaidi tuwe wote pamoja
uouooh
nyota na mwezi
mashahidi watuone mchana usiku njozi yako isikome kwa lugha zote sema wala usikome ilimradi moyoni wee wajua ukweli wote
baby i love you forever zaidi tuwe wote togather
baby i love you forever zaidi tuwe wote pamoja
yeah yeah
baby i love you forever zaidi tuwe wote togather
baby i love you forever zaidi tuwe wote pamoja
(end)
Random Lyrics
- conejo - in these times lyrics
- conejo - after midnight lyrics
- conejo - dangerous game lyrics
- godsmack - something different lyrics
- conejo - i'm lawless lyrics
- slipknot - the negative one lyrics
- gary wright - sing a song lyrics
- gloria trevi - habla blah blah lyrics
- the madden brothers - california rain lyrics
- family force 5 - this is my year lyrics