kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

rose muhando - kumbe ndivyo ulivyo lyrics

Loading...

naona kama maono, k_mbe ndivyo ulivyo
nilidhani ‘kama ndoto, k_mbe ndivyo ulivyo, nilifikiri nachanganyikiwa kwa kusema hivi, k_mbe ndivyo ulivyo
umekuwa mpole, umekuwa mwenye huruma, k_mbe ndivyo ulivyo ooh
si mwepesi wa hasira, baba ni mwingi wa rehema, ndivyo ulivyo oh
wewe unatuwazia mema, kuliko tunavyodhani, ndivyo ulivyo
mawazo yako hayafanani na mawazo ya wanadamu, baba ndivyo ulivyo
nani kama wewe, mwepesi wa kusamehe, ndivyo ulivyo ooh
wema wako hauneneki katikati ya wanadamu jehova, k_mbe ndivyo ulivyo;

ndivyo ulivyo, ndivyo ulivyo
ooh ndivyo ulivyo
hakuna kupinga
2)
tulia kwa mungu, hushuka na kutufariji, baba k_mbe ndivyo ulivyo oh
usiku na mchana hulali husinzii mungu uliye hai, ndivyo ulivyo ooh
pale tusipoweza kutenda wenyewe kwa mikono yetu yehova, ndivyo ulivyo ooh
huingilia kati ‘yale yote tunayoshindwa wewe ndivyo ulivyo
msaada wakati tunapochoka, yehova
ndivyo ulivyo ooh;

3)
mungu uliwakusanya walioachwa
ukawak_mbatia baba ndivyo ulivyo
waliokosa tumaini weka tumaini jipya kwao, ndivyo ulivyo ooh
waliokata tamaa, wewe unawatia nguvu baba ndivyo ulivyo ooh
vile nionavyo mimi si kama utazamavyo baba k_mbe ndivyo ulivyo oh
huruma zako zimevuka vilindi vya bahari, mungu we eeh k_mbe ndivyo ulivyo
hakuna kupinga;

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...