kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

rorexxie - mama neema lyrics

Loading...

nikimuona neema, na muonea huruma
ananijua babae, hakujui mama, na,
namshukuru mungu, neema yusalama ah

ila ananipa machungu; “baba, wapi mama?”

ananiuliza maswali, mengi na makali
kila nikitafakari, huwaga mi′nak_mbuka mbali

(mama neema neema ulimuacha na siku nane, eh!)
(hukuta’ kungoja, ili neema wako anyonye, ehh)
(mama neema neema ulimuacha na siku nane, eh!)
(hukuta′ kungoja, ili neema wako anyonye, ehh)

hivi mi’, ninanuksi gani, au mimi nina mkosi gani?
au kuna kitu, kwa ndugu, jamaa, na majirani, eh?
naogopa kusema sana, dhambi kwa maanani!

nilizaa kamwana ikashindikana
kama bahati bwana, nilikupata kimwana na
nikasema na tuzae watoto, watusaidie baadae
ulilipokea kwa furaha, ulinifuata nikuk_mbatie
k_mbe wewe, nakupa passport utangulie
ilipangwa wewe utangulie mwanao abakie

(mama neema neema ulimuacha na siku nane, eh!)
(hukuta’ kungoja, ili neema wako anyonye, ehh)
(mama neema neema ulimuacha na siku nane, eh!)
(hukuta′ kungoja, ili neema wako anyonye, ehh)

kila ninakokwenda, neema yuko nyuma yangu mie
na mi′siwezi k_mtenga, kwani baba mie mama mie
mara acheke mara alie, neema mara anitanie
naomba mollah amjalie, wazo la mama lisimjie

najua haiwezekani, kwa kila aliye duniani
ana miaka k_mi, kila siku mama yusafarini
na maswali ya kizushi; “mama atarudi linii_ih?”
nayak_mbuka mazishi, mi’ninabaki nauzini
mimi nilie au ninune, hivi nini eeheh, mimi nifanyee?

(mama neema neema ulimuacha na siku nane, eh!)
(hukuta′ kungoja, ili neema wako anyonye, ehh)
(mama neema neema ulimuacha na siku nane, eh!)
(hukuta’ kungoja, ili neema wako anyonye, ehh)

20 percent, (20 percent, 20 percent)
man water, (man water, man water)

(mama neema neema ulimuacha…)
(hukuta′ kungoja ili neema…)
(mama neema neema ulimuacha…)
(hukuta’ kungoja ili neema…)

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...