kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

romi swahili - b(l)ack against the wall كلمات الأغنية

Loading...

b(l)ack against the wall
(hook)
niko na my back against the wall
niko na my back against the wall
ah, niko na my black against the wall
rather, niko na my black against the wall

verse 1
tangu cradle, hii ni historia bado ikiwa bikra
down mpaka tukajua vita again na kuunganishwa na islam
tangu utumwa down mpaka tukajua racism ya negro
mpaka sahii tuko free within kuta za cathedral
tukiimba litanies za watawa, si hii ni black power
ya ma_warrior na ma_hero ju afrika haijai kuwa ya ma_coward
niongeze, already time ilitu_confine ka womb ya mama
future huwa njiani inakuja na for some reason leo kesho haiezi kuwa jana
my people, inaeza kuwa ni laana
ubuntu, kuona tofauti zetu badala ya vile tunafaana
wanaishi kwa denial, chenye walikula kinajulikana
sa wamekunyia na mavi kwa broad daylight wanaikana
hauezi train farasi na shout na u_expect ita_obey whisper
on the flipside, ma_leader wakakuwa born again na anatomy ya hitler
outreach ya injili, kubadilisha lengo kwa mission
sahii gospel yao imejaa ma_r_t_rd kwa eye vision
in the name of immunisation, waka_spread ignorance na polio
ju ya kutaka more than tulihitaji, tuka_sign ma_portfolio
remedy worse kuliko ugonjwa, makachero wakahongwa
ma_prophet wakapeanwa kwa njia za damu, mikono zikaogwa
njia zikapasuliwa kwa shrine na sanamu zikachongwa
wisdom ikakuwa lost, kwani native tongues hazikubongwa?
nijiulize vile tutavunja hizi spiritual barriers
ju ka god ni puzzle, kila mmoja wetu ni carrier
vile tulipoteza glory tulipatiwa earlier
sahii sacred scripts ziko kwa mikono ya terrible guardians
itabaki tui_take it back before timing
back past clocks, landmarks, clouds again na silver lining
(hook)
niko na my back against the wall
niko na my back against the wall
niko na my black against the wall
rather, niko na my black against the wall
niko na my back against the wall
niko na my back against the wall
rather, niko na my black against the wall
rather, niko na black against the wall

verse 2
niko kwa highway motel wana_feel presence yangu
ambia waiter coffee ikuje black ka essence yangu
as i rehe_rs_ mistari ya your favourite black poet kwa kichwa
hii ni life yangu, pen na paper, insha, inshallah
yao ni omission, walikufunza uongo from the start
yangu ni commission, na_push truth kwa bongo na hii art
kwa mkono niko na two aces, three kings and a queen
niki_gamble mchanga itanizalia mbegu zikiwa twin
inanik_mbusha vile tulifuga ngamia, mbuzi na ng’ombe
tukapamba mabonde, na greenness ya pareto na makonge
tulikuwa vibonge before idara za ku_nurse na kusaidia wanyonge
na mipango ilikuwa kwa mass na kufaidikia matonge
majina za hypocrites zimebebwa kwa vitabu
za historia, novels za bure na nyota za dhakabu
statue baada ya mauti, huu veteran alikuwa tofauti
alitetea haki za wanyonge bila hata kutoa sauti
conspiracies za handshake, media cameras na suti
pan_africanist, already alicheki historia ina_take bad footing
ku_reverse past, hauezi vua nguo ka already uko uchi
na hauezi peleka jua kortini ili_cast shadow ukiwa mfupi
si_complain kuhusu our dead slave masters
vile waliunda mipaka, trigger finger spread under disaster
kutu_squeeze tutoe labour ka oil na mbegu za castor
waka_rape our past, product ni child soldiers na ma_b_st_rd
na hakuna venye pope angekuwa black, ni conspiracy
bila kutaja vile ilifaa kuwa black statue ya liberty
breeds za fallacy, spiritual bodies bila autonomy
mpaka ma_scholars self_inflicting cultural sodomy
enough of the same preachers, tung’oe magugu kwa madhabahu
it takes more than wishes, oppression kugeuzia adui shavu
imefika ile point doggy ilicheki reflection ya mfupa kwa maji
tuki_stretch kufikia vitu tunataka na kuachilia zenye tunahitaji
(hook)
niko na my back against the wall
niko na my back against the wall
niko na my black against the wall
rather, niko na my black against the wall
niko na my back against the wall
niko na my back against the wall
rather, niko na my black against the wall
rather, niko na black against the wall

(outro)
yo, descendants
tuko na heritage tunafaa ku_cherish
but through k_mada wenye tuna_share birthright, tuta_perish
yo, romi swahili, signing out
naongea na wewe!

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...