
romantico & samaki mkuu - mdahalo كلمات أغنية
chorus
jambo la mdahalo, ufunguo wa mawazo x 2
pole kaka, i disagree, sorry sister, sielewi x 2
verse 1 (samaki mkuu)
kutokubaliana ni upande wa maisha
kujadiliana kunatufurahisha
kupambana vibaya hakuna haja
kuwasiliana kuna maana
debate and discussion are part of life on earth
but violent confrontation has but little worth
to debate, discuss and disagree are instilled since birth
to go to war against each other is nothing but a curse
mdahalo ni muhimu kazini na nyumbani
mitaani unatuletea amani
thamani ni kubwa kusikiza wapinzani
ili kujenga imani ndani
chorus
jambo la mdahalo, ufunguo wa mawazo x 2
pole kaka, i disagree, sorry sister, sielewi x 2
verse 2 (romantico)
toma el tiempo para sacarte las heridas
habla y habla y no te enganes
esto pasa y no se queda
pole sana i disagree
endela pole pole
desp_cito y poquito
no te me enojes
vamonos contentos
no te me estreses
vive la vida segundo a segundo
vamos caminando en un bosque de corazones
siente el ritmo todos contentos todos alegres
cantando y gritando viva la vida viva el amor
chorus
jambo la mdahalo, ufunguo wa mawazo x 2
pole kaka, i disagree, sorry sister, sielewi x 2
verse 3 (samaki mkuu)
mdahalo ni muhimu kuimarisha
jamii yetu hasa kuhakikisha
uwazi, uhuru na uzalendo
bila mdahalo hakuna upendo
debate has gone on long before we were here
from ancient cultures and their lore we must lend an ear
the foundation of democracy
it repels autocracy
no need for animosity
leave your hypocrisy
tuwe pamoja mimi na wewe
nyundu inahitaji fuawe
tusitumie maneno yam awe
tukiungana hatutashindwa kamwe
chorus
jambo la mdahalo, ufunguo wa mawazo x 2
pole kaka, i disagree, sorry sister, sielewi x 2
كلمات أغنية عشوائية
- genesis - but if you don't stand up you stand a change كلمات أغنية
- genesis - can-utility and the coastliners كلمات أغنية
- genesis - carpet crawlers كلمات أغنية
- genesis - congo كلمات أغنية
- genesis - counting out time كلمات أغنية
- genesis - cuckoo cocoon كلمات أغنية
- genesis - cul de sac كلمات أغنية
- genesis - dance on a volcano كلمات أغنية
- genesis - dancing with the moonlit knight كلمات أغنية
- genesis - deep in the motherlodge كلمات أغنية