
romantico, samaki mkuu, jabali afrika - bila baba كلمات أغنية
ooh
yeah
ooh
yeah, yeah
bila baba, bila baba
uko wapi? uko wapi?
mama hapa, eeh
kuk_mbatia, k_mbatia, eeh
kuk_mbatia, k_mbatia, eeh
bila baba
since nilipokuwa mtoto mdogo
you said if you don’t go, hutaknow
ushauri huo gives me the mojo
to throw things i fear out the window
although ninajua you’ve had to forego
zingine za your own malengo na ndoto
hujamake upendo wako a quid pro quo
but all out love on me you do bestow
when kuna sun, upepo au hata snow
kila mahali i go, always up you would show
to mould me into a pro, making more than dough
nakuthank for the know_how unanishow
tunaposail through the archipelago
au kutembea porini among the buffalo
behold and lo i am never solo
nawe kando yangu
my dad but pia a bro
bila baba, bila baba
uko wapi? uko wapi?
mama hapa, eeh
kuk_mbatia, k_mbatia, eeh
kuk_mbatia, k_mbatia, eeh
bila baba
uko wapi
umepotea
kunyamaza
hapo kwa nyumba
kuna machozi jana toka
ninahitaji kuk_mbuka
sauti yako imepotea
tafadhali rudi tena
ninaangalia mwezi na nyota
zinazokufikiria
kwamba utarudi
siku moja
solo pienso en tu recuerdo
de tu mirada de tu sonrisa
oye baba no te vayas
que sólo queda el silencio
de tu presencia
hay tristeza en tu pasado
y las huellas sin memoria
van corriendo con el tiempo
prendiendo fuego a tu recuerdo
oye baba no te vayas
tafadhali
bila baba, bila baba
uko wapi, uko wapi
mama hapa, eeh
kuk_mbatia, k_mbatia, eeh
kuk_mbatia, k_mbatia, eeh
bila baba
wahenga walisema
mtoto wa nyoka ni nyoka
marto, thank you for everything
you make me who i am today
ooh
kuk_mbatia, k_mbatia
bila baba, bila baba
yeah, eeh
ooh
bila baba, bila baba
uko wapi, uko wapi
mama hapa, eeh
kuk_mbatia, k_mbatia
kuk_mbatia
bila baba, eeh
bila baba
eeh
ooh
bila baba
كلمات أغنية عشوائية
- until we die - before the decay of time كلمات أغنية
- shane maquemba - moré كلمات أغنية
- tory lanez - luv (bonez mc remix) كلمات أغنية
- vince exito - nigga needs كلمات أغنية
- highly suspect - the alligator song كلمات أغنية
- scorpions - gypsy life كلمات أغنية
- papadøpe - howling wolves كلمات أغنية
- air_isekc - boondocks theme song كلمات أغنية
- andeneo - sang bidadari كلمات أغنية
- 40 (forty) - sing the spring كلمات أغنية