
romantico, samaki mkuu, jabali afrika - aoko (remix) كلمات أغنية
verse
traba que traba, y no se cansa
jabali afrika en la casa
toma que toma, traba que traba
este ritmo, no se acaba
poniendo el momento
trayendo el flow
para mi mamá
con el corazon
yo ted dedico
esta canción
jabali afrika ya llego
chorus
nimetembea
sijamuona msichana kama aoko
aoko oho ho
x4
verse
wengi hawajui wewe ndiye the force
nyuma sisi wote, keeping everything on course
kila siku you’ve been there, kutuendorse
but pia tunaknow, rules muhimu you enforce
maadili you instill come straight from the source
na uko always there kuzireinforce
wise, courteous kama snotra, the goddess norse
passionately determined, a dedicated work_horse
on the blocks, kwa ground, until my voice is ho_rs_
i see mfano wako kama code ya morse
bado uko stylish, nguo zako na your borse
to remind kuwa upstanding, to suffer not remorse
chorus
nimetembea
sijamuona msichana kama aoko
aoko oho ho
x4
verse
sasa ni the time kuturn the ukurasa
na kuingiza mahaters kwenye darasa
tangu iliyotoka song mioyo imegusa
katika nairobi, kisumu na mombasa
ya muziki jabali ni maafisa
ni dream kurap hapa, kupata yao ruhusa
i’m blessed to know justo, yeye ndiye profesa
kulearn kutoka kwake, hakuna value ya pesa
fans mnatusikiza, now ni yenu fursa
hii ni remix kali, chorus mnajua hasa
imba kwenye misikiti, hekalu na kanisa
tunataka kuwahear, ili tusahau siasa
chorus
nimetembea
sijamuona msichana kama aoko
aoko oho ho
x4
كلمات أغنية عشوائية
- fizica - natalie كلمات أغنية
- numberblocks - seven كلمات أغنية
- disturbed - i will not break كلمات أغنية
- dorcci - be koja residi كلمات أغنية
- code80 & rx soulja - aaa (demo) كلمات أغنية
- r3d - رعد - kheir - خير كلمات أغنية
- eldar mansurov & almaz ələsgərova - bizim gözəl nəğməmiz كلمات أغنية
- karsen veazey - leave me alone كلمات أغنية
- sweet - don't bring me water كلمات أغنية
- patchymate - gotta run! كلمات أغنية