roma mkatoliki - mr xmas كلمات الأغنية
mr x mas
they call mr x mas
wananiitaje mr xmas
huwaga naongea sense
wananiitaje mr xmas
they call mr x mas
wananiitaje mr xmas
huwaga naongea sense
najiuliza watoto wa siku hizi nani anayewauzia tobacco
kabla hawajavaa soksi wanaanza kuvaa viatu
alafu ndo wavae soksi kweli viatu
vichea boxi leo wamechezea sharubu za mgosi
sana wafanya wafu
na pesa hakuna so hakuna tanga ndugu
hadi chawa wanajikuna raoundi hii kweli watatubu
walisema mitano tena dingi ndani ya soweto
demokrasia na vyama vingi leo wanaipigia punyeto
hawaaminiki watawala na wanaharakati
kwa maana naandika yes kwa mkaaji milalame ya kuondoa babake
ili msivyone vingi na msiyaige hayo mautundu
mhuni nimekata lingi niko ghetto nakuna __
na na mshukuru mungu kikubwa hai mwanakwetu
na ukidaka fungu sipendi, kwani hii dunia ni yetu
wakinywa moet, kunywa vant, wakinywa hennessy, kunywa bapa
utaumwa figo, utaumwa ini na wote tutazikwa hapa
and that’s what up now i’m pretty surе
i’m spitting pure, pure mathematics
and now i rеally poor, in this cold world
fake mcees, work mcees, and i can see
and _____________
wananiitaje mr xmas
they call mr x mas
wananiitaje mr xmas
huwaga naongea sense
wananiitaje mr xmas
they call mr x mas
wananiitaje mr xmas
huwaga naongea sense
______
______
jingle bells jingle bells jingle all the way
oh what fun, it is to ride
in a one horse open sleigh
jingle bells jingle bells
jingle all the way! (they call me xmas)
oh what fun it is to ride
in a one horse open sleigh
wananiitaje mr xmas
they call mr x mas
wananiitaje mr xmas
huwaga naongea sense
wananiitaje mr xmas
they call mr x mas
wananiitaje mr xmas
huwaga naongea sense
كلمات أغنية عشوائية
- millencolin - dr. jackal & mr. hide كلمات الأغنية
- millencolin - domestic subway كلمات الأغنية
- millencolin - dragster كلمات الأغنية
- millencolin - duckpond كلمات الأغنية
- millencolin - entrance at rudebrook كلمات الأغنية
- millencolin - fazil's friend كلمات الأغنية
- millencolin - fingers crossed كلمات الأغنية
- millencolin - flippin' beans كلمات الأغنية
- millencolin - fox كلمات الأغنية
- millencolin - friends 'til the end كلمات الأغنية