kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

rodjazz - oksijeni كلمات الأغنية

Loading...

oksijeni lyrics
song title: oksijeni

verse one

kama jua kuwaka kati ya usiku
ilivyokuwa haiwezekani, ndivyo ilivyo kw_ngu
kujifanya nimesahau kila kitu
wakati sura yako ndiyo
naiona nikifumba macho

bado nakupenda
moyo w_ngu unao
wewe ni kila kitu kw_ngu
mbali huko uliko
pumzi yangu unayo wewe
nakupenda

chorus

bado maswali ni mengi lakini poa
nitakuwa salama
moyo umekukosa lakini poa
nitakua salama
unazurura, zurura akilini
ooh unazurura zurura akilini
verse two

oh, baby oksijeni yangu
chumba spesho cha moyo w_ngu
nimeona mengi maajabu
lakini kwako ninastaajabu
nimeona jua likich0m_za magharibi
mwezi ukiwaka alasiri
maji yakipanda kitonga
lakini yako bado ni mageni

bado nakupenda
moyo w_ngu unao
wewe ni kila kitu kw_ngu
mbali huko uliko
pumzi yangu unayo wewe
nakupenda

chorus
bado maswali ni mengi lakini poa
nitakuwa salama
moyo umekukosa lakini poa
nitakua salama
unazurura, zurura akilini
ooh unazurura zurura akilini

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...