kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

roadie ginger - siogopi كلمات الأغنية

Loading...

verse 1

machizi chenga
wakikupiga don’t surrender
na, wengi wakitengwa
wanasahau kuna kupendwa

machizi chenga
wakikupiga don’t surrender

na, wengi wakitengwa
wanasahau kuna kupendwa

eeeh
where’s a contractor of loyal?
the wall of love is breaking down
walinipoza wengi uchoyo
waliniona hatari wakanitoka

where’s a contractor of loyal?
the wall of love is breaking down
walinipoza wengi uchoyo
waliniona hatari wakanitoka

[bridge]
nikajisifu nimeipata
k_mbe uloiacha ukaifata
ulichotaka ukaipata
ona hata mwenzako natapata
nikajisifu nimeipata
k_mbe uloiacha ukaifata
ulichotaka ukaipata
ona hata mwenzako natapata

[chorus]
siogopi

siogopi

siogopi
(kwenye safari ya muziki mimi nahusika)

siogopi

siogopi

siogopi
(tena tochi ya mutua isinimulike)

verse 2

ninamjua dayana
ndo maana sitaki k_mbuka ya jana
alivyonidanganya
na wakanicheza dana dana
ninamjua dayana
ndo maana sitaki k_mbuka ya jana
alivyonidanganya
tena wakanicheza dana dana

waliniingiza mapendoni
akaniteka mapenzi
nami nikamuweka moyoni
ila akaniona mshenzi

unaweza sema pesa ndiyo breki
ila mapenzi hayasomeki
ubaya wengi penzi wanafeki
ukipenda kesho uwe kwenye magazeti

unayemuita baby
anaweza lazwa kwenye bedi
mapenzi yanabadilika
siku hizi namuitaga shemeji

unayemuita baby
unaweza akalazwa kwenye bedi
mapenzi yanabadilika
unaweza ukamuita shemeji

[bridge]
nikajisifu nimeipata
k_mbe uloiacha ukaifata
ulichotaka ukaipata
ona hata mwenzako natapata
nikajisifu nimeipata
k_mbe uloiacha ukaifata
ulichotaka ukaipata
ona hata mwenzako natapata

[chorus]
siogopi

siogopi

siogopi
(kwenye safari ya muziki mimi nahusika)

siogopi

siogopi

siogopi
(tena tochi ya mutua isinimulike)

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...