kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

rj the dj - sina lyrics

Loading...

[intro : rj the dj]
rj the dj all day baby
this goes out to all lovers and friends
friends and lovers and
make sure you dedicate this song to the one you love tafadhali
you here me already

[verse 1 : yammi]
tena nakupa khabari, ipulike kwa makini
mahaba hayana siri, ndio nami nabaini
nimekupiga muhuri, hapa mw_ngu kifuani
basi babe don’t worry, i love sweat honey
we ndo udi la waridi, w_ngu lulu marijani
mola kanipa zawadi, nzuri ilo thamani
mimi kwako nishafika, kwingine sikutamani
wanipa raha, mwingine simtamani
w_ngu honey hayuni, mapenzi yako jamani
wanipumbaze akili, mwingine simtamani
tupendane kwa yakini, niwe wako w_ngu mimi
tushakula na yamini, mi nawe mpaka peponi

[hook : yammi]
aaaa aaaa aaaaa
mwingine sina
aaaaaaaaaaa
mwingine sina
aaaaaa aaaaaa
sina mwingine
[verse 2 : yammi]
nimetuliazana baby, mimi ni wako daima
kwako nishafika honey, acha pupa papara
unidekeze tucheze cheze
umeniteka
w_ngu honey hayuni, mapenzi yako jamani
wanipumbaze akili, mwingine simtamani
tupendane kwa yakini, niwe wako w_ngu mimi
tushakula na yamini, mi nawe mpaka peponi

[hook : yammi]
aaaa aaaa aaaaa
mwingine sina
aaaaaaaaaaa
mwingine sina
aaaaaa aaaaaa
sina mwingine

[outro : rj the dj]
ladies and gentlemen
they call me rj, the dj
and i thank you so much for listening
awote

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...