rizzo - soldier كلمات أغنية
intro] rizzo
35 35 3560
“[?]”
[chorus] rizzo
niko strong kama soldier lazima ni_win fight
fully armoured mapori ziko tight
napenda nyama mbichi na nikule ikiwa tight
saa hiyo niko juu napepea kama kite
niko strong kama soldier lazima ni_win fight
fully armoured mapori ziko tight
napenda nyama mbichi na nikule ikiwa tight
saa hiyo niko juu napepea kama kite
[verse 1] g star
aah
we’ jua tu si’ huchukua tu vile ime_come
ukiweka resolution me nime_set goals zangu
niko na ki_pipe pipe na kina babu
na tukona bamboo za kuleta adabu
sharty muislamu anani_show mtaani ni lamua
alinipea yellow bado nikafunga tatu
nishai kuwa deep hunting karibu kujisahau
nishai kuwa maze running mpaka kwa matatu
mshai fanyiwa uduu alafu karma ika_do
maderee kwa hii jeshi hii mbogi inaweza ku_screw
usikuje na mamoshi wherever singem”[?]”
na wakidai kucheza “[?]”
[chorus] rizzo
niko strong kama soldier lazima ni_win fight
fully armoured mapori ziko tight
napenda nyama mbichi na nikule ikiwa tight
saa hiyo niko juu napepea kama kite
niko strong kama soldier lazima ni_win fight
fully armoured mapori ziko tight
napenda nyama mbichi na nikule ikiwa tight
saa hiyo niko juu napepea kama kite
[verse 2] rizzo
easy come easy go so nabaki hard core
kunibakisha is a very big no
cheki
kwa battle field nimejibebea mto
aah
ready to die nak_mbuka niliwa_show
i’m so brave kama lion sio simba
you can have my time ka’ ni shughuli tunapiga
nike kicks saa ya weather ni marimba
makoja ni biggy unaweza uliza g star
na_stand tall very tall kama pyramid
usi_talk sh_t hizi endz utalazwa g
mko na beef me kejani nimejaza green
banja kwa net kwa street huwezi fanya sh_t
[chorus] rizzo
niko strong kama soldier lazima ni_win fight
fully armoured mapori ziko tight
napenda nyama mbichi na nikule ikiwa tight
saa hiyo niko juu napepea kama kite
niko strong kama soldier lazima ni_win fight
fully armoured mapori ziko tight
napenda nyama mbichi na nikule ikiwa tight
saa hiyo niko juu napepea kama kite
[outro] g star
“[?]”
we rep’ing east side
3,5,6,0
yeah
east side “[?]”
كلمات أغنية عشوائية
- kreayshawn - ch00k ch00k tare كلمات أغنية
- the deadlights - amplifier كلمات أغنية
- forbidden site - pleurs nocternels كلمات أغنية
- moenia - major ya no كلمات أغنية
- deborah cox - up & down (remix) كلمات أغنية
- hell rell - gladiators كلمات أغنية
- vanilla ice - yo vanilla كلمات أغنية
- humming urban stereo - hawaiian couple كلمات أغنية
- kyuhyun - masquerade كلمات أغنية
- kid sister - control كلمات أغنية