rich mavoko - wezele كلمات الأغنية
yeah yeah …ayeee . (badman)
[pre chorus]
kama salio limekataa
itauga cha kufataa
baby back to the matter
hiyo minyoosho matata
[chorus]
asa asa tingisha wezele
aaah wezele
aaah tingisha wezele ilo wezele
asa asa tingisha wezele
aaah wezele
aaah tingisha wezele ilo wezele
[verse 1]
ukikaona kama form 2, form 1
ila age imekataa hivii
sio mhindi mbaniani
ila nakapendani
mamilove mamilove
i wanna see you this night
mamilove mamilove
yako inabana inatight
unachovya yote
unapepeta unapepeta
yaani kote kotе
unakeketa unakekеta
ukipanga izo kodi oooh
unapendeza sauti kama kwaya
siwezi gonga hata hodi oooh
makengeza kidume na retire
[pre chorus]
kama salio limekataa
itauga cha kufataa
baby back to the matter
hiyo minyoosho matata
[chorus]
asa asa tingisha wezele
aaah wezele
aaah tingisha wezele
ilo wezele
asa asa tingisha wezele
aaah wezele
aaah tingisha wezele
ilo wezele
[verse 2]
turn me on
baby turn me on
ukinipa pande na score
naweka hata million
nakupa hata milioni
leo sitoi bob
kama naugua kidege
(we mama weee, we mama weee)
yaani nimelewa mdege
(we mama weee, (we mama weee)
ndani ya groundi,izo roundi
zinanifanya niwekeee
naforci ata poundi, ya soundi
ya kukufanya ucheke
mamilove mamilove
i wanna see you this night
mamilove mamilove
yako inabana inatight
[pre chorus]
kama salio limekataa
itauga cha kufataa
baby back to the matter
hiyo minyoosho matata
[chorus]
asa asa tingisha wezele
aaah wezele
aaah tingisha wezele
ilo wezele
asa asa tingisha wezele
aaah wezele
aaah tingisha wezele
ilo wezele
كلمات أغنية عشوائية
- 林宥嘉 (yoga lin) - 飛 (flight) كلمات الأغنية
- leah kate - boyfriend كلمات الأغنية
- keyla roberta - lágrimas كلمات الأغنية
- renie cares - заратустра (zoroaster) كلمات الأغنية
- gwyn - ready when u are كلمات الأغنية
- big soto & beéle - tas clara كلمات الأغنية
- rubberband - m.a.m.a. (live at hong kong coliseum 2021) كلمات الأغنية
- dewald wasserfall - die anderkant van liefde كلمات الأغنية
- lil pump - more wet كلمات الأغنية
- atomic cabaret - eyes كلمات الأغنية