
rich mavoko - wamoto كلمات أغنية
(moko!)
kama sanamu ukicheka
una sura ya mdoli
siwezi kuneng’eneka
kwako mateka kigoli
na sipagawi kiunoni shanga
umbo umejaliwa
uko kibada nitauza shamba
ama ushanunuliwa
usije tanga tanga kwa waganga
mwisho ukaibiwa
mpaka varandani tulicheze vanga
toto amejaliwa
mi natamani k_mshika (wamoto huyo)
asa nikimuona (wamoto huyo)
akikatiza kwa mtaa (wamoto huyo)
moyo unanisonona (wamoto huyo)
tena alivyoumbika (wamoto huyo)
toto nyama kanona (wamoto huyo)
sasa mimi nitafanyaje (wamoto huyo)
naishia k_muona (wamoto huyo)
anakomesha sista duu
wanamuita mama yao
namtamani kwa bedi tuu
kanikomesha kwa viwalu
hayo macho ukimwona
kama amekula kungu
alipofumuka anashona
huko nyuma kama nundu
na sipagawi kiunoni shanga
umbo umejaliwa
uko kibada nitauza shamba
ama ushanunuliwa
usije tanga tanga kwa waganga
mwisho ukaibiwa
mpaka varandani tulicheze vanga
toto amejaliwa
mi natamani k_mshika (wamoto huyo)
asa nikimuona (wamoto huyo)
akikatiza kwa mtaa (wamoto huyo)
moyo unanisonona (wamoto huyo)
tena alivyoumbika (wamoto huyo)
toto nyama kanona (wamoto huyo)
sasa mimi nitafanyaje (wamoto huyo)
naishia k_muona (wamoto huyo)
mi bado sijatulia (n_z_changa changa)
usipagawe jina (n_z_changa changa)
nitaunda hata rubia (n_z_changa changa)
ili kukata bima (n_z_changa changa)
nafanya tu nikupate (n_z_changa changa)
ili niwe na wewe (n_z_changa changa)
afya nikuvishe pete (n_z_changa changa)
uje nyumbani kinole (n_z_changa changa)
baby!
كلمات أغنية عشوائية
- safet isović - idem kući, a već zora كلمات أغنية
- drip thug - самотні (lonely) كلمات أغنية
- ludacris - undisrupted [unofficial street hip-hop remix] كلمات أغنية
- the almighty grind - planet seeds (we take ya deep) كلمات أغنية
- penny flanagan and the new moon - lap it up كلمات أغنية
- the toad show - the chorus is funny كلمات أغنية
- tatum scott - experience كلمات أغنية
- gerry and the pacemakers - looking for my life كلمات أغنية
- paul calder - fall in love كلمات أغنية
- jubyphonic - abnormality dancin' girl (english cover) كلمات أغنية