
rich mavoko - ndegele كلمات أغنية
[verse 1]
nimechili na wanaa eh na wanaa
skani kopa kabanaa eh tunachoma
kuna mtoto ananyama, she too fine oh
usiombe akichutamaa eh lawama
unacheki my wallet budget
usiwaze kuhusu money
leo me nimebet nikadent
nimepoint mtumbani
welele mama igwee
toroka fanya ujee
ili goma lisitue
lazima tu lipigwe
huku nawaka kwakwajeroo (oyaaa)
waliobanwa kwenye karoo (maboyaa)
[chorus]
ndegele… tam tam… ndegele
ongeza mizukaa… ndegele
jipindee pinukaa … ndegele
msamba pasuka … ndegele
mamaa (ndеgele) rukaa (ndegеle)
tupa magongoo … ndegele
cheza kikongoo … ndegele
pinda mugongo … ndegele
[verse 2]
she make me kolo yo mama yoo
na body na reliyoo stim za upolo
ukimtazama yoo
unanyonga na reliyoo
agwelenaa agwelenaa
umenibariki kimokoo
agwelenaa agwelenaa
kamusuku kamusoko
una bodi (bodi)
unaweteka madingii
hilo bodii (bodii)
shape kama shangingii
nipe mpaka kuchu kuchu (ndegele)
nilambe nyaya mpaka chuchu (ndegele)
njo ushike na mututuu (ndegelee)
nisugue mpaka nitoke kutuu (ndegelee)
[chorus]
ndegele… tam tam… ndegele
ongeza mizukaa… ndegele
jipindee pinukaa … ndegele
msamba pasuka … ndegele
mamaa (ndegele) rukaa (ndegele)
tupa magongoo … ndegele
cheza kikongoo … ndegele
pinda mugongo … ndegele
(acha kucheza kama pop watu wote watakushangaa)
(acha kucheza kama pop watu wote watakushangaa)
[verse 3]
too fine oh mama
total am loosing my mind
kabisa nyang’a nyang’a
nashika natawanya (ah eh)
too fine oh mama
total am loosing my mind
kabisa nyang’a nyang’a
nashika natawanya
[chorus]
ndegele… tam tam… ndegele
ongeza mizukaa… ndegele
jipindee pinukaa … ndegele
msamba pasuka … ndegele
mamaa (ndegele) rukaa (ndegele)
tupa magongoo … ndegele
cheza kikongoo … ndegele
pinda mugongo … ndegele
كلمات أغنية عشوائية
- thousand frames - regret you كلمات أغنية
- unge coke - six pack كلمات أغنية
- grade 2 - weekend offender كلمات أغنية
- malathi & ranjith - aa ante كلمات أغنية
- frenchie - hood letter كلمات أغنية
- synteneyo - irrelevant كلمات أغنية
- george jones - i won't love you anymore كلمات أغنية
- jfree aka freeway230 - spit fiya power (super mario rap) كلمات أغنية
- pj simas - goodnight gabrielle كلمات أغنية
- suburban truth - paris morton music 3 كلمات أغنية