relax music - shirambo كلمات الأغنية
intro (bako motz, taina & mkax pepee)
ki ki ki ki
lele lele lele nakulelaee
aaaaah, wanamba
lele lele lele nakulelae
aaaah, boom bap..
verse 1 (so-lo)
leo tupo dar kesho cape town
watoto wa dar tunavyojidai
utanieleza nini wewe bush boy??
ambaye kwenu dar mnapaona dubai
zima taa zima washa koroboi
“ooh hawatoboi” leo hawakohoi!!
mr bk kwenye beat hunitoi skia..
tapeli kakutana na jambazi
sasa innocent men wote msimbazi
bako motz twende kazi
hawawezi game wamezoea wali n-z-
nakuja na jeshi si mtu shazi
uwazi ukweli unatupoteza kikazi
un-z-leta mbwembwe za unai
mkax gusa za chembe kama mike tyson
maduu wenye penzi fake kama strapon
nawapa adhabu ya viboko vya matakon
wanatusema tunapanda dau
shirambo shi shetu.. ma n-gga bounce, bounce
ma n-gga bounce
chorus. (mkax pepee)
shirambo shirambo-shi
shirambo- shi shetu
shirambo shirambo shi
shirambo shi shetu
verse 2: (bunch bay)
watoto wanachokoza, ona
wanachokoza tena
watoto nguvu ya soda, ooh my
watoto nguvu ya soda
king gangwe tools the great conquerer
chochea kuni chungu kisije kupoa
motz kwenye beat hajaboa
wachawi kwa mbali cheki wanakodoa
tunawarushia dagger, pumzi tunakaba
pumzi tunakaba, b scandal murder
nachinja, mkononi mkameme
propera kwenye kina, nchecheme nchecheme
kakuk-mba wazee wa binzari
kila beat tukifanya kwao inakuwa kibali..
chorus: (mkaxx pepee)
verse 3: (seba star)
shega na wanangu
ukiona nimevesha natumia vyangu
nikifanya yangu
na studio mi nakesha na mziki w-ngu..
ah, yeah. ukinidiss diss diss diss jua unanidiscuss
am busy busy busy busy na mitikasi
am flying high boy juu mi nacheza na anga
hunikuti chini boy juu n-z-di panda
toka long time me napambana
wakuja nao wakuja wanang’ang’ana
nawaacha hoi ile nganganga
vina vipo high vimepangana
chorus: (mkax pepee)
verse 4: (kipetenco)
pisha pisha nipe nafasi, kipetenco boom shabba ranks
aiyaiya wali n-z-, piga picha kama we ni paparazzi
sijaja kwa mapambio ndombolo mithili ya kwaito
ziba masikio mgogoro kwa mimi haipo
kwa punch wanagwaya miwaya wameikanyaga
swagga zangu sio za kwaya riwaya ya bruno mbaga
weka peremende ili mende asile shati
nisuk-me mbele niende sipendi sifa za mnafki
t-t-for-tat, na kamwe haunipati
na kichwa kina akili kama fikra za draft
pisha pisha nipe nafasi
kipetenco boom shabba ranks
chorus
verse 5: hossy p
man-gga tupo heat tupo hot
kwenye midundo ya bako vipi snitch unasweat
niwekee kick na snare, uone nnavyoenea
kwenye hii mitindo mi huwaga sina spare
f-ck nnavyowanyea
mi wa hapa hapa home wakuja wanasogea
i’m here i’m the king king king wa michano
w-n-lia kisa kiki, mi na ki ya mapambano
watoto wa town tupo fit i swear
verse 6: kidram
carpet lina vumbi toa nje usafishe
choo kimejaa mwite mtu atapishe
watoto uwezo mdogo wanauliza kulikoni
anaebisha na abishe basi waje ulingoni
korokocho, ng’o ng’o ng’o no
if you say yes, how come say no
kwenye gazeti bunch bay kawa star
appollo kalinunua abillahi kashangaa kafurahi
chorus
relax music
كلمات أغنية عشوائية
- soulgirls - pretty girl كلمات الأغنية
- saturne777 - 9 كلمات الأغنية
- american casualties - triple entente كلمات الأغنية
- włodi - bez znieczulenia كلمات الأغنية
- (too generic) - witness كلمات الأغنية
- מור - yala lech - יאללה לך - mor (israel) كلمات الأغنية
- g0nny (거니) - whydoyouloveme كلمات الأغنية
- warhorse - sybilla كلمات الأغنية
- mouad falcon - first love كلمات الأغنية
- czaffy - 3:15 كلمات الأغنية